Recent content by mwamini sr

  1. mwamini sr

    Upangaji wa matokeo kwa mitihani ya Kidato cha IV and VI

    Hivi jaman mwalichukuliaje hil la grade za advance A kuanzia 80-100 na O-level kuanzia 75-100 Toa maon yko
  2. mwamini sr

    KWA WENYE VITA VYA ADVANCE

    Habar wana JF kwa yeyote mwemye Vitabu na anahitaji kuuza naomba anijuze PHYSICS -Rodger Muncaster -Tom Duncan -Nelkon 3rd Edition CHEMISTRY -Ramsden -Chand class XII Hata kama una kimoja kati ya hvo pls wasiliana nami. Mim nipo dar JK Airpot
  3. mwamini sr

    Naomba joining instruction ya Kibiti Boys High School

    Ok poa bro em nicheki whatsapp +255714709056 Nna inshu nataka tutalk
  4. mwamini sr

    Naomba joining instruction ya Kibiti Boys High School

    Habari wana JF kwa yeyote mwenye joining instruction ya KIBITI boys High school antumie hapa salum.engineer@gmail.com Thanks
  5. mwamini sr

    Hatua zipi za kufuata ili kubadili shule?

    Habari wa JF.Naombeni kuuliza ni hatua gni za kufata ili kubadili shule maana mimi nimechaguliwa PCM nina 1.13 nahitaji kwenda KISIMIRI
  6. mwamini sr

    Bei ya Topics za Form five

    Hyo app naijua na tatzo c notes,notes ninazo bt nahitaji mapindi, em tujaribu kufikiri kabla hatujareply post yeyote ile Thanks ni hayo tu
  7. mwamini sr

    Bei ya Topics za Form five

    Kwan nawe ni pre-form five??
  8. mwamini sr

    Bei ya Topics za Form five

    Habar wana JF,Jamani kwa anaesoma au aliewahi kusoma tuition ya mchikichini naomba anitajie bei ya topic hizi 1.Mechanics in Physics 2.Physical chemistry Na pia zachukua muda gani kila moja kufundishwa?
  9. mwamini sr

    Ifahamu sayari ya Jupiter

    Kwan Umbali wa kutoka kwenye jua unadetermine vp urefu wa siku?
  10. mwamini sr

    Kubadilisha kelele za wanafunzi kua nishati ya umeme

    Acha hizo ww kils kitu ni capital hata kama ungekuwa ww ni mwalimu wa sayansi ungeyajua hayo ila problem ni kuwa ww ni wale wa ECA
  11. mwamini sr

    Kubadilisha kelele za wanafunzi kua nishati ya umeme

    Daah penda sana hyo suggestion yko bt amin kwamba leo watu wanahisi kama huna sera ila one day watakuja amini. Ila tatizo wa Tz tunapenda sana kukatishana tamaa na kuona kwamba hatuwezi fanya kitu ila jua kwamba hata kama utafanikiwa kugundua njia ambayo itaconvert hata kama kea kiasi kidogo...
Back
Top Bottom