Mkuu tuletee muendelezo wa submission,jana uliishia muda ule wameenda break.Kazi unayofanya ni nzuri sisi tuliobali tunapata kujua kinachoendelea kupitia wewe
Kweli aisee,NECTA kwa sasa hapana.Wanapika mno matokeo ya sasa.Habari wanaipata lecturers wa vyuo vikuu.Kutana na mwenye div 1 anajenga hoja kama drasa la nne
Mpwa I am so disappointed!Ulikuwa na option mbili,ama kuwaambia kuwa utalilipia uliyemwalika wengine wajilipie,au kuondoka kimyakimya bila kugeuka nyuma!.Haukufanya lolote kati ya hayo! You are a coward!
You think you can please women? Learn or perish.
Ushimeni,kama matukio ya namna hii hayajakukuta unweza kudhani ni story tuu.Sitasahau siku kijana wangu alipoibuka na pini ya kubania hijab kwenye siti ya nyuma,alooo!
Halafu sasa familia nzima tumo humo kwwnye gari tunakwenda kanisani ,wee acha tu.Mama watoto alinikazia macho vibaya
Married men be like:
Mmmmmhh
Happily married!
What the f_ck is being happily married?
Marriage is a scam my man
We know nothing about these women!
Ooooh............
Man
I miss the streets!
I betrayed my bros for this shit
I jumped over pee
Thinking I'll be free!
Then I landed in pit full of...
Anguko la mwenye kiburi lonatokana na kiburi chake.Nakubaliana na wewe 100%.Ukweli ni kwamba ccm hawana nia ya kufanya maridhiano yoyote,wala kuleta katiba mpya,wala tume huru ya uchaguzi.Hizi tume za uchunguzi zinazoundwa ni maigizo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.