No,no,nooo!!!Evelyn salt hapo anasema,mtu anakuja kwako hafanyi kazi yoyote,anakula then anaingia zake fb akisubiri next meal,akasema hilo hata yeye hakubaliani nalo,na mimi nimeongezea tu kuwa unakuta mtu mwenyewe pamoja na kutojishughulisha kwa chochote anapiga menyu,na principle ya wanaokula...