Recent content by Mwambepo one

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa akalia kuti kavu. wananchi walimtuma kutetea maslahi yao sio kupiga kelele bungeni

    chezea Chadema! Iringa bado anakubarika sana huyo!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chaso - IFM yazidi kuizika CCM

    yap! pigeni kazi wadau wangu wa kitivo cha Bima', hifadhi ya jamii wahasibu na watu wa benki kimbieni mhamie CDM fasta au sio!:majani7::target:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Namleta Kwenu Kamanda Lilian Wasira, Karibuni kwa Maswali & Majibu

    Karibu sana kamanda wetu! Ester tuko pamoko sana katika harakati ok!:majani7:
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo adanganya tena

    Hahahahahahaah! mambo ya Amiri! hayo ful kudanganya haya wadau wangu endeleeni kufunuka hapo ilikuwa bado Kinyala, Irambo shule ya presda wa Kongo na Sangu pia Manow seminary! bila kusahau Lutengano ya Prof Jay.... naomba kuwasilisha!:confused2:
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mashahidi kesi ya Ponda wajichanganya

    na Mie nimekubali kama unafikili elimu ni ghali basi jaribu ujinga ok! fikilisheni vzr akili zenu.......
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa mwendo huu CCM kwaheri 2015

    kimenuka mtaaani! hadi watoto wa digital hawakutaki!
  7. M

    JamiiForums Tanzania 'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    Wahukumuni Fasta na mafisadi! Sasa huyo jamaaa kuvaa gwanda tuu miaka mi4 Alafu aliyeiba mabilioni ni miaka 2 au 1... anyway one day es! itajulikana tuu zipi mbivu zipi mbichi..........
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi waliosambaratisha CHADEMA mkoani Iringa wadai posho zao "TULITAKIWA kulipwa sh 450,000

    Hapo umenena kaka hii mijamaaaa! ina laana kabisa mana haikumuone huruma hata Yesu Sembuse Binadamu! hAKUNA KUWALIPA MBULULAAA HAO!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ndani ya 'mkasi'

    Weweeeee! chezea siasa Za Arusha jiwe litapita ila sio mafisadi!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ndani ya 'mkasi'

    Full vituko ila kwa Arusha wasahau kabisaaaaa! chezea mikoa mingine ila usicheze na siasa za Arusha ok siku njema mkasiiiii!
  11. M

    JamiiForums Tanzania African Angels from MAKANDANA and IGOGWE

    Kwiiiiikwiiiiikwiiiiiikwiiiiiiiiii! ndagha fijho bhakikulu bha nkajha loli moghile leka! safi sana wametokelezea chezea nyakyusa wewe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

    Yote hayo yanasababishwa na kina PONDA! mpaka mnaonekana ni magaidi! Dah pole sana kamanda kwa kumkosa mkee tafuta ostadhati mwenzako ok! kama vp Badili dini katika kweli na roho Utaokoka!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je serikali YA KIKWETE haioni athari ya hizi ISLAMIC DVD huku Kusini kama bomu HATARI?

    Jamani suala hili ni zito sana hatuna budi kizikemea hizo Cd na dvd! kwa kweli serikali lazima ichukue hatua ya kukemea uuzaji wa hizo kanda! mana hakuna vita mbaya kama vita ya Kidini! hilo lazima tulijue jamani. Amani ya nchi ni jukumu la kila mwanchi kuilinda na kuipigania!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wa aina ya Mwigulu Nchemba wana 'Significant Contribution' kwa TAIFA?

    Kweli ni janga la kitaifa kiongozi aina hii!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Ardhi University waandamana kupinga kuzuiwa kuvaa nguo fupi, kubana

    Piga stop wote kuvaa vi min hao ludisheni uzalendo kama enzi za Tanu! ok
Back
Top Bottom