Recent content by mwambega geofrey

  1. mwambega geofrey

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    kwa mwawazo haya tunasafari ndefu Sana kuing'oa ccm madarakani
  2. mwambega geofrey

    Katibu Dorothy Semu (ACT Wazalendo): CCM/Serikali acheni kupotosha, uchumi haukui

    ACT wazalendo awali ya yote niwatakie kila lenye kheri mungu hamtupi MTU kwenye nia ya dhati. Ni wazi sasa yangu awamu ya tano kuingia madarakani licha ya kupata sifa kemkem toka kwa wananzengo na wachumia tumbo lakini hali ya mambo so shwari na matokeo take kila mwenyewe macho anaona raisi...
  3. mwambega geofrey

    Inasikitisha na inaumiza: Maneno ya faraja kutoka kwa Godbless Lema kwenda kwa Tundu Lissu

    you can kill him but you won't kill what he is standing for
  4. mwambega geofrey

    Barua ya wazi kwako IGP wetu Simon Sirro

    awali ya yote naunga mkonyo hoja a samahani naumga mkono hoja kuna askali anafanya kitengo kwa RPC hapa Mbeya alikuwa katibu wa ccm tawi LA SAUT Mbeya na siku ya uchaguzi alileta defenders na mapoti kibao kumpa Ushindi mgombea wa ccm bwa mahimbo Bahati ilhali alibuluzwa na mwana ufipa havillah...
  5. mwambega geofrey

    Vyuo gani bongo vinatoa masters ya internationa relation and diplomacy

    ko chalii ulitaka nikwambie nimepita huku nkasoma pale mala ooooooo change Tanzania change your attitudes you always takes issues negatively hahaaaaaaaaaaaaa too much excess love
  6. mwambega geofrey

    Vyuo gani bongo vinatoa masters ya internationa relation and diplomacy

    Msaada wapi napata masters ya international relations bongo land
  7. mwambega geofrey

    Mfahamu Christina Charles Malema

    She is no longer politician
  8. mwambega geofrey

    TANZIA: Christina Lissu afariki Dunia jijini Dar

    Kuna nyakati kama hizi kwenye maisha mungu ndiye aliye panga sisi ni nani. Tushukuru kwa kila jambo
  9. mwambega geofrey

    Mfahamu Christina Charles Malema

    Huyu ni diwani pekee mwanamke kuongoza kata kwa kuchaguliwa kwa kura 5789 mwaka 2010 tangu wilaya ya chunya ianzishwe mwaka 1941, awali alihudumu kama boharia wa duka la ujamaa la pembejeo yaani MBECU na baadae alikuwa karani wa kampuni ya tumbaku TLTC mpaka mwaka 2000 alipojitosa kwenye medali...
  10. mwambega geofrey

    ACT Wazalendo wamvua uanachama Philipo Mwakibinga baada ya kutoa tamko lake dhidi ya maaskofu wa KKKT

    Wakuu huyu bwana mwakibinga aligombea udiwani kata ya chokaa chunya mjini na kushika nafasi ya tatu baada ya kukatwa chadema alikowania nafasi ya ubunge jimbo la lupa Alipata kuwa meneja kanpeni wa milaji hussein ambaye alikuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ACT wazalendo baada ya yeye yaani...
Back
Top Bottom