Hapa tu pamenitosha kuona uwezo wako mdogo wa akili, kumbe upo kwa ajili ya kusaidia tu pale unapoona mtu anataka kuanguka? how about the rest? Vipi kama kapitia njia sahihi?Upo tayari kupongeza? kama sivyo basi wewe ni hewa
Utakuwa ulisimuliwa press ya mbowe na vile haikuwa live kama ya hawa covid 19 basi umehadithiwa, na kwa taarifa yako, hesabu mabao mwenyewe na wape pongezi sana ila ndo vile chdma washamaliza
Atakuwa hajaona hata press ya mbowe, maana hata anachokisema eti alikuwa kakunja sura sijui hiyo aliona wapi? maana kati yao aliehangaika kwenye ni mdee, nafuta majasho kila dakika,
Yani siuji uliwahi sikia hili neno maelekezo toka ngazi za juu?? basi ndo kinachofanyika, na hakuna takukuru yenye nguvu kufatilia mambo kama haya au ni aache kazi, muulize majaliwa wakati wa korosho aliambiwa nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.