Recent content by Mwamba wa Tanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama ni ujumbe wa kitisho basi tumtie moyo na kumuombea Siha njema...kazi hii inayo majaribu mengi sana

    Naaam yule nyoka ameshavimba na njia ya kupita hkn ni muda wa kurudi kinyume nyume kwenye shimo lake Kwasababu napata taarifa hapa naambiwa yupo kule ng'ambo muda mrefu sana anaogopa Kuja huku
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Mkuu muda sio mrefu nyoka anarudi kinyume nyume kwenye shimo lake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Kulikuwa na Machafuko Kabla ya Mwanadamu?

    Shikilia hapo kwanza Kwasababu kaini na ABEL Ndo watoto wa Kwanza na ukiisoma Biblia vizuri inaonekana aidha Kuna vitu vingi vimefichwa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

    Hizo pombe siku hz haziivi vizuri Ndomaana wagonjwa wa sukari wanaongezeka Nimefanya kazi kwenye huo mzungu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lissu kuachiwa Agosti 21?

    Bado Rupia naye atajitetea kama Lissu hakuna uhaini wa mtu mmoja
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kabudi: Mungu akishawapa kiongozi, mumpende mumheshimu, hakujileta mwenyewe

    Lakini Mtu yule alijileta mwenyewe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

    Baba mkubwa naelekea Pangani sshv nikachukue pesa yangu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

    Tumefanya kazi kubwa sana Tushampiga upofu🔥
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

    Sawa Baba mkubwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

    Karibu👏
Back
Top Bottom