Kwani uajabu uko wapi sasa? Kwa maana hiyo unaamini ujinga kujiko akili, zamani watu walikuwa hawajui nini maana ya elimu wala hakukuwa na mwamko tofauti na sasa ivi wazazi tunawekeza kwenye elimu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu hii kauli ya kumchezea mtu naona iko kibaguzi.... mnashirikiana kwa kila kitu mwishowe mwananke ndo anaonekana kachezewa kwanini na nyie bas msichezee??? Nyambafu
Wanaume sisi tunapata shida kwa kuona mapaja ya wakina Delila kwasababu malaini, ukizingatia na ile mchirizi inatamanisha, sasa nyie mnakereka nini na mapaja yetu??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.