Recent content by Mwalupii

  1. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    Sikuelewa maana ya neno PUSHA Katika ile story
  2. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

    Kunyooka ni kwa walio ndani ya CCM Na walio nje ya CCM, Subiri utaona tu.
  3. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    PUSHA Ndiyo nini ? Dah pole sana
  4. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbarali: Ngome mpya ya CHADEMA isiyofahamika

    Kweli kabisa
  5. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Unapitia kipindi chako na mwingine atafuata
  6. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania CAG Prof. Mussa Assad amjibu Spika Ndugai, Asema Katiba ya JMT haina kifungu kinachomtaka ajieleze

    Hii ni ngoma nzito mwenye ngoma anasubiri ya kama ya Lisu.
  7. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

    Tunahitaji wanaume wengi 👷👷👷👷
  8. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Tusibeze, maandamano yapo ila kufanikiwa au kutofanikiwa kwake inategemea Polisi imejipangaje

    Kiukweli kama maandamano yapo Serikali ijiandaye kisaikolojia
  9. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Hii kesi imesukumwa sana. Lakini maaandiko ya hukumu yametoka. Hivi hapa wanasheria mtusaidie anaweza kata rufaa kwa kesi hiyo na hukumu kubadirishwa?
  10. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    kiukweli hawa CCM wamechoka kabisa kwa kuwatumia wanafunzi, wanao warubuni kuleta vurugu kwenye mdahalo
  11. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Msingi imara wa maendeleo kwa nchi yetu Tanzania ni uzalendo thabiti

    Historia ya maendeleo katika mataifa yalio endelea inaonekana kuletwa na uzalendo thabiti kwa wananchi juu ya nchi yao. Uzaledo ni hali ya kuwa na moyo wa upendo thabiti kulitumikia taifa lako pasina majonzi wala manung'uniko juu ya jamii yako. Uzalendo huthibitika pale sheria za nchi husika...
  12. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kisasa kinachorusha internet kwa njia ya wireless kwa kutumia line za simu

    ok! ni vizuri kukitumia ili tusonge mbele zaid
  13. Mwalupii

    JamiiForums Tanzania Ccm wataweza kufanya kampeni za uchaguzi bila mabango ya picha kama chadema?.

    Katika uchaguzi uliopita ccm walieneza mabango kila kona yenye kuonyesha majina na sura,bado watu wakawapigia kura chadema hebu semeni wandugu
Back
Top Bottom