Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

MaCCM mpo chini ya elfu moja lakini mmepata kura zaidi ya elfu nne.
Ndio maana mnapigwa moto.,
Hamna tofauti na VIBAKA.
Anafikiri ni sifa kumbe anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe,wanachama wa CCM wako chini ya elfu 1000 kura zaidi ya elfu 4 alizopata zingekuwa za halali wananchi waliochoma wangetoka wapi?.
 
Hao Ni.magaidi wale walioko Msumbiji kwa Sasa wanashirikiana na magaidi was ndani kutumia uchaguzi Kama kichaka JWTZ ingieni kazini Yale mliyofanya Kibiti, mkuranga na Rufiji kayafanyeni Lindi na Mtwara
Waende wakaue watu hovyo hovyo?Kibiti hadi wakulima waliokutwa mashambani waliuwawa!
 
Haifai
Hii Ni Hatari
Vitendo Vya Hovyo Sana Hivi
Uchaguzi Umekwisha X 3
Hata bado, Mambo ndio kwanza yanaanza..

Mmewanyima haki zao Watanzania,kwa vile mnajiona mko juu

Haya yasingelitokea kama Uchaguzi ingekuwa wa huru na haki

Tanzania ni yetu sote,kila mtu ana Uhuru wa kumchagua anaemtaka,hakuna mwenye hati ya kuongeza wenziwe..

Hii nataka itokee Tanzania nzima,hongeri Sana mliokuwa na Ujasiri wa kufanya hivi vitendo
 
Waende wakaue watu hovyo hovyo?Kibiti hadi wakulima waliokutwa mashambani waliuwawa!
Mbona wakulima original wao hawakusema chadema na ACT wazalendo ndio waliongea? Kulikoni? Ilitakiwa wakulima original was maeneo husika waseme ilikuwaje Mbowe na genge lake la akina Zitto Kabwe ndio waliobweka badala ya wakulima?

Hata kura kuibiwa mawakala waliokuwa vituoni Hakuna wakala wa Chadema Wala Act wazalendo aliyeongea kuwa zimeibiwa mibweko tunaona inatoka kwa kwa wagombea tu kulikoni? Mtu wa kwanza kujua kura zimeibiwa alitakiwa awe wakala ndani ya kituo sio mgombea

Kick zenu mkuranga ,Kibiti na Rufiji zilibuma migaidi yenu mliyojitia ohhh mikulima ilitwanga mirisasi na JWTZ Hadi ikakoma ikatorokea Msumbiji ikijinyea njia nzima

Hiyo munayoita mikulima ikaenda kuanza chinja chinja kule !!! Hadi Sasa

Hao wa Lindi wajiandae kujinyea JWTZ ingieni kazini
 
Hao Ni.magaidi wale walioko Msumbiji kwa Sasa wanashirikiana na magaidi was ndani kutumia uchaguzi Kama kichaka JWTZ ingieni kazini Yale mliyofanya Kibiti, mkuranga na Rufiji kayafanyeni Lindi na Mtwara
Magaidi Wana busura na hekima wanashambulia watesi wetu, huenda tujiunga nao kuikomboa nchi
 
Unaongea kama vile jeshi la maccm ni super jeshi duniani kumbe ni bunch of gay motherfuckers

Unakuja kuwashika na wao pia wapo on the line vilevile....They will take their chances!

Maaskari bure kabisa yale
Wamechezea kichapo Kama Cha Lukaya kule Uganda tuna majeruhi zaidi ya Mia wapo lugalo
 
Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Kwanini wanaishi bila kuwa na Surveillance camera? Ulimwengu wa leo lazima watu kama hao wawe na surveillance camera. Tena unaweza uka control mchomaji wakati anaandaa kufanya action kwenye Smartphone yako.

Ili kukomesha vitendo vya kihalifu vya namna hii, serikali haina budi kuhifadhi records za DNA materials za wananchi wote kwenye National Data Base ili kwenye matukio kama haya iweze kurahisisha Identification ya hao washenzi wanao fanya vitu kama hivi.

Europe na Amerika identificationa ya wahalifu ni rahisi sana kwa sababu nilizozitaja hapo juu.
 
Juhudi Zifanyike Haraka Sana
Vinginevyo Mambo Haya Yataenea
Haikubaliki Hii
Nauliza tu mkuu, ni lipi linakubalika..., kwenda kupiga kura lakini kura hiyo isiwe na maana yoyote?
Nani Huyo?
Haya Yanatufanya Tukose Utu
Tukipiga kura kuchagua viongozi wetu, akatokea mpumbavu akaona sisi ni wapuuzi na kutuwekea kiongozi anayemtaka yeye, huo ndio"utu" kweli?

Mimi nadhani haya ni matokeo ya "mambo yasiyokubalika" na ambayo sio ya "kiutu" kabisa.
 
Haifai
Hii Ni Hatari
Vitendo Vya Hovyo Sana Hivi
Uchaguzi Umekwisha X 3
Mkuu Nina mashaka makubwa sana kuwa huu uchomaji moto huenda unafanywa makusudi na State apparatus Kwa malengo Fulani dhidi ya Vyama Pinzani.

Siamini kabisa kwamba hizi ni Hasira za wananchi dhidi ya hao Wasimamizi na Wabunge... Siamini!!!!
 
Acheni ujinga kusema mali ya wananchi imechomwa. Nimekagua mali zangu hakuna iliyochomwa. CCM wasijivike ngozi ya wananchi kuhalalisha ushenzi wao.

Waliiba uchaguzi ambao watu walichagua watu wao wanaowapenda, acha walipie upuuzi walioufanya.
Amin nakuambia this has nothing to do with Wananchi..

Hisia zangu zinaniambia kuwa ni Serikali na Idara zake wanaratibu huu Uchomaji ili wapate sababu za kuwashughulikia Wapinzani..
 
Mkuu Nina mashaka makubwa sana kuwa huu uchomaji moto huenda unafanywa makusudi na State apparatus Kwa malengo Fulani dhidi ya Vyama Pinzani.

Siamini kabisa kwamba hizi ni Hasira za wananchi dhidi ya hao Wasimamizi na Wabunge... Siamini!!!!
Hata Mimi
Wananchi Bado Wamejaa Upendo, Zaidi Wana Butwaa Uchaguzi Mkuu Ulivyokuwa Na Magumashi
 
Mbona wakulima original wao hawakusema chadema na ACT wazalendo ndio waliongea? Kulikoni? Ilitakiwa wakulima original was maeneo husika waseme ilikuwaje Mbowe na genge lake la akina Zitto Kabwe ndio waliobweka badala ya wakulima?

Hata kura kuibiwa mawakala waliokuwa vituoni Hakuna wakala wa Chadema Wala Act wazalendo aliyeongea kuwa zimeibiwa mibweko tunaona inatoka kwa kwa wagombea tu kulikoni? Mtu wa kwanza kujua kura zimeibiwa alitakiwa awe wakala ndani ya kituo sio mgombea

Kick zenu mkuranga ,Kibiti na Rufiji zilibuma migaidi yenu mliyojitia ohhh mikulima ilitwanga mirisasi na JWTZ Hadi ikakoma ikatorokea Msumbiji ikijinyea njia nzima

Hiyo munayoita mikulima ikaenda kuanza chinja chinja kule !!! Hadi Sasa

Hao wa Lindi wajiandae kujinyea JWTZ ingieni kazini
Umechangia kama wanawake wale wa kukodi kwenda kumsema mwanamke mwenzao!
Aggrrrrrriiiii,huwa sijibu mabandiko ya hivi!
 
Back
Top Bottom