Recent content by Mwalimu

 1. Mwalimu

  Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

  Katika mazingira haya ya covid19 kampeni za uchaguzi zitafanyika vipi? Kutakuwa na mikutano ya hadhara? Kutakuwa na midahalo baina yao?
 2. Mwalimu

  Diamond hivi huyu Mzee ni baba yako kweli? Mama anasemaje?

  Diamond akija kuzeeka nae atakuwa analalamika wanae wamemtosa hawamjali wanaangalia mama zao tu.... mwendelezo wa laana ya vizazi!
 3. Mwalimu

  Diamond hivi huyu Mzee ni baba yako kweli? Mama anasemaje?

  Yeye mwenyewe Domo hana time na watoto wake wakija kuwa wakubwa na yeye kuzeeka itakuwa drama zilezile watoto watakuwa hawana muda nae... Mwendelezo wa laana ya vizazi toka kwa baba kwenda kwa mtoto Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Mwalimu

  Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

  Silent inn kila ijumaa ilikuwa siku ya wanachuo mabasi yanaenda kubeba wanafunzi vyuoni bure. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Mwalimu

  Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

  Bloomberg hajawahi na hatakuja kuwa mgombea tishio... ameunguza hela zake bure tu mwisho wa siku hakubaliki hata ndani ya chama chake.
 6. Mwalimu

  Niliwalaumu Uhamiaji bila sababu kuhusu utoaji Pasi za Kusafiria kutotegemea taarifa za NIDA. Aliyevuruga mfumo yupo, 20% wenye ID si watanzania

  Uhamiaji na NIDA zote ni taasisi za serikali... Sasa taasisi moja inapodai haiamini taarifa za taasisi nyingine hapo ndipo unaona jinsi gani serikali hii ilivyo disorganised na ya hovyo!
 7. Mwalimu

  Duru-Ulaya: Kura ya maoni 'Brexit'

  https://edition.cnn.com/uk/live-news/boris-johnson-supreme-court-ruling-dle-intl/index.html
 8. Mwalimu

  Duru-Ulaya: Kura ya maoni 'Brexit'

  Boris Johnson alisema lazima UK iondoke EU ikifika Oktoba 30 come what may hata bila deal yoyote. Na amefanya hivi kwa lengo la kushinikiza EU kulegeza msimamo wao kuhusu deal ya kujitoa iliyopo mezani ambayo bunge la uingereza imeikataa mara kadhaa. Bahati mbaya hawajajiandaa kwa ajili ya...
 9. Mwalimu

  Ripoti ya Utetezi wa Bwawa la Stiegler - Ndiyo Hii? Nimeshindwa Kuisoma...

  Halafu ilivyopambwa kwa mbwembwe nyingi na maandishi font size kubwa ili ionekane ya "kitaalamu"!
 10. Mwalimu

  Nyie watu mmezidi sasa!

  Propaganda lumumba hazikufai ndugu hizo waachie kina SLOW SLOW.
 11. Mwalimu

  Diamond amfumua zari , amwambia amuige hamisa ku move on ...

  Muendelezo wa laana toka kwa dingi kuwa chovya chovya then huna muda na watoto imehamia kwa kijana sasa anaendeleza uzi ule ule... kesho na kesho kutwa watoto wakishakuwa wakubwa ataanza nae kulalamika wamemtelekeza!
 12. Mwalimu

  After he is gone, then what?

  Hivi kweli ulikuwa na matumaini kabisa kwamba mtu ambaye ni product ya genge la rushwa na ufisadi la lumumba ndio aje kuwa mkombozi mpambanaji dhidi ya rushwa??🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
 13. Mwalimu

  Si kila Mtanzania ni kichwa cha panzi. We have made progress under Magufuli (For sure more needs to be done)

  Kauli mbiu ya TANU ilikuwa UHURU NA KAZI. Sisi leo tunaona UHURU hauna maana isipokuwa HAPA KAZI TU!
 14. Mwalimu

  Zari punguza "kimuhemuhe"

  Zari ni yule yule kabla na baada ya Domo hajawahi kubadilika. Mtajiumiza vichwa bure kumfuatilia....
 15. Mwalimu

  Si kila Mtanzania ni kichwa cha panzi. We have made progress under Magufuli (For sure more needs to be done)

  Haya ni maneno ya hatari mno kutoka kwa Great Thinker🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️ Kwamba somehow ama kwa bahati mbaya au makusudi unashindwa kutambua umuhimu wa katiba na utawala wa sheria katika suala zima la ustawi na maendeleo ya nchi! Kwamba bora tupate maendeleo hata kama inatugharimu utawala wa katiba...
Top Bottom