Recent content by mwalimu mpole1

  1. M

    Cwt waipa serikali siku saba

    Waalimu tuendeleeni mbele zaidi, CWT ina maadui wengi wamo walimu ambao wamekubali kubeba agenda ya serikali dhidi ya cwt, serikali inampango wa kukifuta chama hiki mchakato utaanza mara baada ya shule kufunguliwa. Mnakumbuka wabunge wa magamba walivyokishambulia CWT na mmoja akaonyesha kile...
  2. M

    Uchaguzi wa m/kiti wa CCM mwanza uzingatie nini?

    Sawa tu wanamwanza ila asiwe yule mzee anae maliza muda wake, yule anapenda rushwa na kwakweli amekomaZa makundi ndani ya ccm.
  3. M

    msaada nokia E5 haionyeshi phone book

    wadau heshima mbele, nimejinunulia kijisimu nokia e5, contact zangu zipo kwenye line, tatizo siwezi kuona majina, folder ya contact haifunguki kabisa. Msaada jamani
  4. M

    Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    tatizo Lako mtoa hoja ni ku register ID huku ukijua dhahiri hujatibu Maralia
  5. M

    James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

    Jamani mzee Lembeli nitakuunga mkono daima. Kwakuwa umekua sauti ya wanyonge Mungu atakulipa mara dufu. Ni kweli migomo sasa imeongezeka! Hatuna tena uchungu na serikali hii ambayo imeamua kutukomoa hata sensa tu wametuondoa walimu. Wito wangu kwa walimu sasa tuagane na serikali ya chama hiki...
  6. M

    Mwanafunzi Wangu Amenitoa Machozi

    Mohamed kamwe sina sababu ya kuchonga hadithi! hilo ni kweli kweli tupu. Unachosahau au umefanya maksudi nikusahau ukweli kwamba watoto wa siku za nyuma walikua wakiona mwalimu watakaa kimya ghafula au hata kujificha kizazi hiki ambacho hata bakora hakizijui, nidhahiri mazingira unayorefer ni...
  7. M

    Mwanafunzi Wangu Amenitoa Machozi

    Wengi mnafahamu SHULE ZIMEFUNGWA ILA DARASA LA SABA NA LA NNE BADO WANAENDELEA NA MASOMO WAKIJIANDAA NA MITHANI YA TAIFA. L eo nilipoingia darasa la saba kufundisha nimekuta watoto wanamjadala mkubwa. kwakuwa kelele zilikua nyingi nikalazimika kujua kuna nini. Watoto wote walicheka kisha ikawa...
  8. M

    Mama Salma Kikwete tukumbuke wenzio!

    MAMA SALMA TUKUMBUKE WENZIO Kwako Mama Kikwete, Saalam, Pole kwa majukumu mengi uliyonayo mimi binafsi nakutakia mfungo mwema wa Ramadhan na nina imani mwezi huu utakua na manufaa mengi kwako na kwetu kwa ujumla MAANA UTATUOMBEA WALIMU WENZIO. Pamoja na salamu hizi napenda nieleze wazi...
Back
Top Bottom