James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

Ushahidi mwingine wa mgomo wa madaktari kuwa unaendelea ni maamuzi ya serikali ya Kenya kuwarudisha majeruhi wa ajari ya basi Nairobi haraka sana juzi. wangefia moi wote.

Jamani mzee Lembeli nitakuunga mkono daima. Kwakuwa umekua sauti ya wanyonge Mungu atakulipa mara dufu. Ni kweli migomo sasa imeongezeka! Hatuna tena uchungu na serikali hii ambayo imeamua kutukomoa hata sensa tu wametuondoa walimu.

Wito wangu kwa walimu sasa tuagane na serikali ya chama hiki cha zamani. Bora waje na wengine wajaribu kutunyanyasa upya kuliko hili bedui ccm na majitu Yake. Wabunge wa ccm wanaponda mgomo wetu wanadhani tunalipwa hata moja ya kumi ya wanachopata? Amini nawaabieni saa yaja nayo haiko mbali sana what watakapokuja tena kwetu na maneno yao ya wema tutawakumbusha unyama huu wanaotutenda.

Nitawapinga kwa nguvu zangu zote,najua ninao rafiki wapatao3 ninao wamudu nitawashawishi waniunge mkono, vipindi vyangu vyote nimeongeza segment ya elimu ya uraia kwa wanafunzi humo nitafundisha mengi juu ya vile mlipoifikisha nchi hapa kwa kuiba raslimali zake huku wao(watoto) hawana hata madawati. Ikiwa mtashinda kwa hila zenu amini nawaabieni mtaapishana huku mikono yenu ikiwa imeloa hatia.
Mungu atusaidie. Na amekiona kilio chetu sasa ameamua kutuokoa kupitia shibe yenu ya madaraka
 
aitaka serikali ishuhulikie matatizo isikimbilie mahakamani, migomo bado ipo

asema haiwezekani baba kugombana na mama na watoto halafu akawa wa kwanza kukimbilia polisi

Asema ukificha maradhi kifo kitakuumbua, migomo bado inaendelea

Adai nchi hii siyo tena na wakulima na wafanyakazi, ni ya wafanyabiashara, matapeli na wahuni

Awaonya wabunge wanaoponda walimu kugoma kwamba wakirudi majimboni kwao wataongea na nani

Aisuta serikali kwa nini haipeleki wabunge mahakamani kwa kudai posho zaidi

Asante mkuu kwa taarifa njema ya Mh. Lembeli. Ni kweli mgomo upo. Zomba unayejibu kwa kejeli ujio wa Dr. SU upo? Nimeshakueleza kwa sisi tunaotibiwa Muhimbili na ndugu zetu, mgomo tunajua upo na hautakwisha kama serikali haitajali maombi ya madaktari. Japo kuwaskiliza na kupata a balance for the two sides kuliko kuwatukana na kuwatamkia maneno ya kejeli LIWALO na LIWE. Matokeo yake tunaoumia ni wananchi na wabunge wetu tumewachagua hatawaki kusema ukweli. CDM ilisema hili mwishowe wakaonekana eti wanachochea ndipo hata walipomkamata Dr. SU walikuwa wanamlazimisha aseme kama ametumwa na chama gani, na lengo walitaka ataje CDM. Maskini Dr. SU hakutumwa bali hali halisi ya uchakavu na ukosefu wa vitendea kazi na hali duni hospitali kulala mtu tatu kitanda kimoja na wengine chini. Ukiingia na ugonjwa mmoja Muhimbili, Temeke, Amana au Mwananyamala unatoka na ugonjwa mwingine wa kurithi toka hospital. CDM ingieni wodini pateni hali halisi na leteni hadharani. msiogope.
 
Lembeli kafunguka! Nilitamani wabunge wote wawe wakweli na kuacha unafiki. Nimewasikia wabunge wawili wanawake ambao wamejinadi kuwa walikuwa waalimu eti wanawaponda wenzao kwa kugoma! Kilichowafanya wakakacha ualimu ni nini kama si kutafuta maslahi? Wameniboa sana maana walikuwa wanachangia kwa unafiki wa hali ya juu kupalilia posho zao za bungeni.
Nilivyomsikia yule mama wa kwanza analopoka tu nikazima tv, alinikera kweli sijui kwa walimu waliokuwa wanamwangalia ilikuwaje
 
Jamani mzee Lembeli nitakuunga mkono daima. Kwakuwa umekua sauti ya wanyonge Mungu atakulipa mara dufu. Ni kweli migomo sasa imeongezeka! Hatuna tena uchungu na serikali hii ambayo imeamua kutukomoa hata sensa tu wametuondoa walimu.

Wito wangu kwa walimu sasa tuagane na serikali ya chama hiki cha zamani. Bora waje na wengine wajaribu kutunyanyasa upya kuliko hili bedui ccm na majitu Yake. Wabunge wa ccm wanaponda mgomo wetu wanadhani tunalipwa hata moja ya kumi ya wanachopata? Amini nawaabieni saa yaja nayo haiko mbali sana what watakapokuja tena kwetu na maneno yao ya wema tutawakumbusha unyama huu wanaotutenda.

Nitawapinga kwa nguvu zangu zote,najua ninao rafiki wapatao3 ninao wamudu nitawashawishi waniunge mkono, vipindi vyangu vyote nimeongeza segment ya elimu ya uraia kwa wanafunzi humo nitafundisha mengi juu ya vile mlipoifikisha nchi hapa kwa kuiba raslimali zake huku wao(watoto) hawana hata madawati. Ikiwa mtashinda kwa hila zenu amini nawaabieni mtaapishana huku mikono yenu ikiwa imeloa hatia.
Mungu atusaidie. Na amekiona kilio chetu sasa ameamua kutuokoa kupitia shibe yenu ya madaraka

Nitashukuru sana kama walimu mtatusaidia kufundisha elimu ya uraia jinsi huyu mdudu ccm na mijitu yake unavyoitafuna nchi hii
 
Tatizo la serikali DHAIFU ni dharau, Na Mkuu wa kaya kujifanya kama Mfalme Firauni kukomoa wanaompinga. Hakuna anachofanya zaidi ya kusema "serikali haina uwezo". Kama serikali haina Uwezo ni wafadhili gani wanaogharamia safiri za JK nje kutembelea mashamba ya mananasi na kubembea? Makundi, Chuki na Visasi ndio mtaji wa JK na serikali yako vitawa cost 2015
 
Hata kina ghadafi wamekaa madarakani miaka dahari wakajikweza mwishowe wameshushwa,wasioona tabu tunazopata walimu na watumishi wengine wa serikali ya dhaifu nao ipo siku watashushwa.Acha walewe madaraka.VOX POPULI,VOX DEI.
 
Ushahidi mwingine wa mgomo wa madaktari kuwa unaendelea ni maamuzi ya serikali ya Kenya kuwarudisha majeruhi wa ajari ya basi Nairobi haraka sana juzi. wangefia moi wote.

ni wasiwasi wao tu. mbona walishaanza kutibiwa?
 
aitaka serikali ishuhulikie matatizo isikimbilie mahakamani, migomo bado ipo

asema haiwezekani baba kugombana na mama na watoto halafu akawa wa kwanza kukimbilia polisi

Asema ukificha maradhi kifo kitakuumbua, migomo bado inaendelea

Adai nchi hii siyo tena na wakulima na wafanyakazi, ni ya wafanyabiashara, matapeli na wahuni

Awaonya wabunge wanaoponda walimu kugoma kwamba wakirudi majimboni kwao wataongea na nani

Aisuta serikali kwa nini haipeleki wabunge mahakamani kwa kudai posho zaidi

na afadhali kazungumza lembeli , angezungumza wenje au machali wangeonekana wapinzani, ccm na serikali ya kukimbilia mahakamani, uchumi na kero za umma zitamalizika mahakamani.nape ajifunze kukubali na kusema ukweli kuliko kuropoka ajifunze kwa wabunge kama lembeli
 
Aiseeee baba yangu leo nimetoka hosp kuu ya taifa muhimbili si ile muhimbili ninayoijuwa mimi ya kukosa hata sehemu ya kuweka mguu au chupa ya chai yani hakuna watu kabisa lakini madr wanafanya kazi kama kawa nakumbuka miaka 3 iliopita kitanda kimoja wanala 2 leo hii kunavitanda havina watu kunatatizo jei kei hapa kama si ngomo baridi sijui

ngoja nile mbege nikalale
 
Back
Top Bottom