Recent content by Mwalimu Mlaki

  1. Mwalimu Mlaki

    Ushauri: Serikali iandae mpango badilishi kwa waalimu wa sekondari wataoenda kufundisha shule za msingi

    USHAURI WANGU KWA WIZARA YA ELIMU. Kwa kuwa ni kweli kabisa kuwa kuna uhaba Waalimu katika shule nyingi msingi ukilinganisha na za sekondari ambazo nyingi zina ziada ya Waalimu hususani wa Masomo ya sanaa, nia ya Serikali kuongeza Waalimu kwa kuwapeleka baadhi ya Waalimu wa Sekondari...
  2. Mwalimu Mlaki

    Sijasikia tamko lolote kutoka serikalini kuhusu kifo cha mke wa Kingunge

    Watatoa tamko tu ila siyo kwa muda na kwa namna tunayoitaka
  3. Mwalimu Mlaki

    Kachinjwa Mchana Kweupe ~ Moshi Bar

    Na mafisadi nao wangefanywa hivyo sidhani kama uchumi ungedorora
  4. Mwalimu Mlaki

    Nchi ya Ahadi

    Wagombea wameona kuwa Watanzania ni wasisimkaji sana"watu wa mihemko"wanaahidi mpaka ahadi ambazo nina uhakika ni usanii
  5. Mwalimu Mlaki

    Leo masumbwe

    Nilichokishuhudia leo ikiwa ni siku moja tu kabla ya ujio wa Lowassa ni vijana waendesha pikipiki wakiwa wamevalia fulana nyekundu na bendera za CDM,lugha ya kampeni ni ya kumkashifu Mbunge wa CCM kuwa "analala tu bungeni"ila nimeshangaa sijasikia wakisema kuwa wanayemnadi atafanya nini bungeni...
  6. Mwalimu Mlaki

    Jichunguze: Watu wa mitandao ya kijamii ni watu wa namna hii

    Wewe ndiyo bonge la fake hata jina unalotumia hapo tu ni fake,fake picture,fake arguments,jchunguze vizuri kwanza wewe.
  7. Mwalimu Mlaki

    Tuwe makini na Wamarekani hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu

    Kweli Kaka hata laws of power zinaruhusu hiyo hali
  8. Mwalimu Mlaki

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Mtu kigeugeu hakosi sababu,najua tamaa ya kupata madaraka ndiyo sababu kuu na siyo kivuli cha uadilifu
  9. Mwalimu Mlaki

    Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

    Wewe ndiyo walewale tu mbona hamkumfunga mapema?mlingojea hasara iongezeke au agombee Urais kwanza?Una mahaba gani na Nchi hii wewe kama siyo unafiki unakusumbua?Kamshtaki a Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa kututangazia atanunua radar na ndege ya Rais wakati wake na alinunua makapi.
Back
Top Bottom