Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

Mbona magufuli kila siku anasema watanzania wanataka M4C ...movement for change ....kila siku nacheka sana eti watanzania wanataka mabadiliko!! Magufuli bhana!!
 
Hakuna jinsi ambavyo magufuli atafanya kampeni bila kuisema ccm,hata kama akisema nitafanya kitu flani ambacho hakipo sasa ni dhahiri kuwa walioshindwa kukifanya ni ccm
Mkuu ccm wamesahau Kuwa wao ndio wanaongoza serikali mpaka hii leo
 
wako tayari kusema chochote ilimradi wapate kura. au umesahau hata mh. lowassa amesema kuwa ataanza kuwatoa wafungwa magerezani?
hao ndo viongozi wetu watarajiwa. ni shiiiiideri kwa kweli.

Wakihutubia kwenye kampeni za CCM Morogoro mjini rais Kikwete alisikika akisema,

"Watanzania nimewatoa mbali sana hadi kufikia hapa mlipo, siyo kazi rahisi".

Baada ya JK kumaliza ikafika zamu ya mgombea urais mh. Magufuli, akasema,

"Ndugu zangu watanzania mafisadi na majizi ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo".

Dah! kaazi kweli kweli.
 
Ninachofurahi kuwa magufuli anajua kuwa watanzania tunataka mabadiliko ambayo ukawa watayaleta
 
Back
Top Bottom