Yani kilimo chochote kile au biashara yoyote ile ukifeli vituvitatu utaanguka tu
1-usimamizi
2-matumizi ya muda
3-huduma
Hapo lazima ufeli kama unashamba au hata biashara unatumia simu utafeli
Kama unamsimamizi siyo muaminifu utaangukia pua tu....
Pole ila nakushauri ishi katika ndoto yako na...
Leo tunaendelea pale tulipoishia jana ila kwana niseme natoa somo hili ili kuwafungua watu waone fursa zingine nje ya zile wanazozifikilia.
SI CHINI ya milioni mbili mpaka tatu utawekeza kwenye nanasi ingawa uzuri wake kamwe haitoki pamoja unaweza ukakuta laki laki au hamsini hamsini mpaka...
Inategemea unakodisha au unanunua kama kukodi ni milioni miaka mitano
Kununua ndiyo makubaliano ila kwa heka inaanzia milioni mbili mpaka tatu kutegema na umbali
Zao la nanasi ni zao ambalo kiasili ni zao linalovumilia ukame na ni zao ambalo la kibiashara lenye faida kubwa.
Kwa hapa Tanzania yapo maeneo mengi ambapo zao hili la nanasi linastawi ila katika mji wa KIWANGWA-BAGAMOYO zao hili linastawi zaidi kutokana na hali ya mwinuko wake kutoka usawa wa...
#Mama ongeza umakini, minong'ono imekuwa ni mingi sana sio bara sio visiwani Watu wanaanza kupoteza imani na wewe. Mpaka ndani ya bunge lako majadiliano ya pembeni yamekuwa ni mengi. Sikukosoi lakini kuna mambo ingefaa sana uyatafakari sana kabla ya maamuzi.
Wapo pia umewatia moyo kwamba kwao...
Kuna usemi unasema hivi ukimuona adui yako anakusifia na unachokifanya jua kunasehemu unakosea.Naukimuona anachukia kwa unachokifanya basi jua unafanya sahihi endelea hivyo hivyo.
Kila mmoja anafahamu kwetu Afrika lengo la kila chama cha siasa ni moja tu kuchukua dola sasa maanaa yake nikuwa...
Utaratibu wa kodi upo hivi nakuwekea muda yani mfano kutokana na biashara yako kila mwisho wa mwezi utatulipa kodi ya shilingi milioni sasa ikifika huo muda hujalipa hiyo kuna hatua na taratibu nyengine ikiwemo kupewa kumbusho (notice) la muda fulani haizidi siku 30.
Baada ya huo muda kuisha...
Duniani kote pale mheshimiwa rais nchi ili iweze kujiendesha lazima ikusanye kodi kwanamna yoyote ile kodi ilikuwepo tangu zama za mitume.
Hakuna mfanyabiashara yoyote yule atakuwa anautayari kulipa kodi bila kumuwekea sheria na utaratibu na aisipo ufuata sheria itachukua mkondo wake na akisema...
Tarehe 25/8/2020 serikali imefungua maombi ya kuanza kuomba kujiunga katika vyuo vya ualimu kikiwemo PATANDI....
Kimsingi vyuo vyote vya ualimu vitaanza kutoa STASHAHADA baadala ya ASTASHAHADA hivyo kakauli rahisi ni kuwa hakuna tena ualimu ngazi ya cheti itakayotolewa na wizara..
SIFA ZA...
Chuo cha ualimu elimu maalumu PATANDI nichuo pekee Tanzania kinachohusika na utoaji wa elimu kwa watoto wenye ulemavu..Chuo hiki kinatoa fani kuu tatu ambazo ni:-
1-uziwi(hearing impaired)
2-uoni(visual impaired)
3-ulemavu wa akili(interlacture impaired)
Kozi zote hizo zinatolewa kwa ngazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.