Kama hoja yake inawakilishwa na malalamiko ya Slay Queen,kwanini huyo Slay Queen hajamalizia sentensi yake Kwa lugha ya Kiha,au Kinyamwezi? Kama kiswahili kilivyo lugha ya taifa Tz, Kingereza pia ni lugha ta taifa Ke...
Samahani mkuu, sijaelewa ulichokiandika. Ila nina uhakika 100% niko right...
Nikikwambia you are incopentent nielewe, maana hata sentensi ya kuniuliza kama niko sawahaieleweki...
Mkuu, cbc teqching is focused on defferenciated learning and teaching activities.teaching methodolovies that are learner centered. Kama hukuzingatia hili na kuengage wanafunzi kwenye lectures badala ya kufacilitate lernibg activities, hukufanikiwa kutekeleza mtaala wa CBC.Kwa kifupi you are...
Samahani mkuu, kwa mtizamo wako mtoto wa darasa la 1- 3 anafaa kumaster somo lipi ili awe surgeon?...na nitatumia assesment ipi kujua kuwa hatapenda sanaa na kucheza mpira ukubwani?
mkuu,hii specialization ipo kwenye kila sector.Kinacholetwa mezani na CBC ni competence[umahiri] wa huyo professional ambae amespecialize.Ana skills kiasi kipi,ana uwezo kiasi gani kutatua changamoto katika field yake,ana knowledge na attitude gani towards career yake na shuguli zake za kila...
Habari Mkuu t blj,
Naomba nikupitishe kwenye ufafanuzi alioutoa Mkuu Animo (#20)
EBE ni aina ya elimu inayotolewa ambayo ina vipengele 5 kama alivyosema Mkuu Animo,Nchi inapoamua kuchukuwa na ku adopt mfumo huu wa elimu inabidi inchi husika i customize content na implementation ili iendane na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.