Recent content by MWALIM WA KIJIJINI

  1. MWALIM WA KIJIJINI

    Jinsi ya ya ku-edit pdf document

    Tumia pdf element mkuu, download Google
  2. MWALIM WA KIJIJINI

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    treni helo wakuu 9D70F3C betpawa
  3. MWALIM WA KIJIJINI

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    mkuu mimi ni Me jina langu linaanzia herufi I nimezaliwa 25/07 Mke jina linaanza na herufi A kaziliwa 05/06
  4. MWALIM WA KIJIJINI

    Nauliza bei ya ream Jumla

    Shukrani mkuu hii bei inafanana na barabara ya nane Dodoma
  5. MWALIM WA KIJIJINI

    Nauliza bei ya ream Jumla

    Wakuu habari za jioni naomba kuuliza kwa Dar ntapata wapi duka linalouza ream kwa bei ya Jumla
  6. MWALIM WA KIJIJINI

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Exchange na iPhone 8 plus kama upo interested mkuu. 0763380530
  7. MWALIM WA KIJIJINI

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Nawahakikishia afisa elimu huyu hayupo kama mnavyosema na majungu hayana nafasi kwa kiongozi huyu.
  8. MWALIM WA KIJIJINI

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Njoo Chamwino au tuma mtu aje huku uone mama wa watu alivyo mpole na mstarabu
  9. MWALIM WA KIJIJINI

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Na niombe walimu tulioko Chamwino hebu tujitokeze hapa na kusema ukweli dhidi ya kiongozi wetu huyu, hivi ni lini aliwahi kumfukuza mwalimu kwenye kikao? lini aliwahi kuwajibu walimu vibaya, narudia tena na tena naomba tumwogope Mungu na tuseme kweli. Hofu ya Mungu itawale katika ndimi na...
  10. MWALIM WA KIJIJINI

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Narudia tena walimu wa chamwino wanaujua ukweli na sijui kwa nini watu wa maslahi yao binafsi wanaamua kumchafua mama wa watu, jiulize tu kama yupo hivyo je CWT wako wapi? TSC wako wapi? na lazima ufaulu ungeshuka ni vema kuacha chuki na kusema mambo ya kweli
Back
Top Bottom