Recent content by Mwakyeja

  1. M

    Ali Kamwe aombe radhi yaishe asilete ujuaji wake

    Bado ukweli upo pale pale ila mbaya kweli kweli mbayaaaaaaaaaa
  2. M

    Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

    Hata tukifungwa hatuwezi kutukana matusi viongozi wetu maana mpira Una matokeo matatu
  3. M

    CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Mkia1 _ahaly 1 Yanga 2 sandawana 1
  4. M

    Nauza mpunga wa Kyela

    Nauza MPUNGA kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya. Nina gunia elfu moja (1000) zenye ujazo ndoo ya lita 20 zipo 10. Mpunga upo Kyela na mimi nipo hapa Dar es salaam. Mawasiliano: 0715088880
  5. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sijawahi ona shirika la ovyo na watu wake kama hili Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Namba ambazo hutakiwi kukosa kwenye simu yako

    Ni ujinga wa kuwa nyenyekea watu wazima kama wewe una tabia kama hizo upimwe mkojo
  7. M

    Kilichoiponza Yanga ni ile kuambiwa wao ni Club ya 3 kwa Ubora Afrika

    Kilicho iponza mikia leo ni nini??
  8. M

    Mamelodi Sundown inapendelewa. Mashabiki wa ligi ya PSL Afrika Kusini wameanzisha petition

    Kuna kipindi timu ikiwa bora zaidi itaonekana inabebwa mfano barcelona kuna kipindi ilikuwa bora zaidi zaidi ikaonekana inabebwa vile vile yanga ndani ya tanzania pia inaonekana inabebwa hata simba kuna kipindi ilikuwa bora pia maneno kama haya yalikuwepo
  9. M

    CEO wa Simba mashabiki walistuka kwamba wewe ni Yanga. Nimeanza kuamini

    BADO HUJASEMA YAANI HAPO BADO HUJASEMA
  10. M

    Kufa kwa biashara ndogo ndogo Tatizo ni nini?

    Sehemu .yabiashara ilipo.kukosa wateja . Kufanya mtaji huohuo kua kiinua mgongo maana yake kula hapo hapo lazima biashara iyumbe huu mfano tu
  11. M

    Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    King craiz GK Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom