Recent content by mwakoba

  1. M

    Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

    hzo statistic umezitoa wapi kaka,,,,,tunaomba utusaidie source
  2. M

    The New York Times: After 50yrs+ of CCM's rule, Tanzania still remains one of the world's poorest

    "Better to die fighting for freedom, than be a prisoner all the days of your life." By Bob Marley
  3. M

    Wanachotakiwa kujua wakina Mbatia & Co ni kuwa CHADEMA-asilia walimpigia kura Magufuli!

    hata maboksi ya kura yaliyokamatwa kabra ya uchaguzi yalikuwa chadema asilia
  4. M

    January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    kweli huyu bro nikichwa cha mwenda wazimu....huwezi kusema uchaguzi wa zanzibar hauhusiani na uchaguzi wa jamhuri ya muungano kutokana na kwamba raisi wa jamhuri ya muungano huwa anachaguliwa na wote(tanganyika na zanzibar) hvyo kama zanzibar wanarudia uchaguzi kulingana na uamzi wa ZEC hata...
  5. M

    Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    huo ni uonevu,,,,hao vijana waachiliwe huru kwani wanaukawa siokosa kufanya mahesabu ya kura zao walizopigiwa
  6. M

    Idadi ya wapiga kura za urais na ubunge Segerea inatatanisha

    nasikitika kusikia watu wakisema tanzania election is free and fair
  7. M

    Swali:hivi kura feki zilizo kamatwa zilikuwa za wananchi jimbo gani?

    tujaribu kuangalia kwa umakini hivi zile kadi za kura feki zilizokuwa zimekamatwa hao watu walijiandikishia wapi?kitu kingine wanapatikana kwenye maeneo gani kati ya vituo vyote vya kupigia kura vilivyokuwa vimeandikwa na kujulikana kwa watanzania wote......naombeni mnitoe wasi hapo wana jf...
  8. M

    Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    inamaana hiyo link niya nec au mafisiem
  9. M

    GE2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

    pamoja sana mafundi wa sheria
  10. M

    Tigo kuipigia kampeni CCM, kuvunja vunja line zao

    mimi niliwamaindi walikuwa wananitumia sms marakwamara za kampeni sisiem
  11. M

    Kata ya Elerai Arusha; CUF ngangari, UKAWA wavurugika

    mabadirikooooooooooooooooo............................
  12. M

    Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

    R.I.P bro
Back
Top Bottom