Recent content by Mwakitobile

  1. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Wakazi wengi wa Mkoa wa Singida hawana utamaduni wa kutumia Vyoo!

    CC. Mwigulu Nichambe
  2. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

    Wewe Asenga Abubakari, acha kujipendekeza kwa familia ya kikwete.Waache wenyewe waje kujibu hapa.
  3. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Tufanye Check-Up Mara kwa Mara

    Kupigwa dole hospitali za hapa nchini ni noma,lazima ivume kwenye vyombo vyote vya habari.
  4. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Kujifunza kiingereza kwa Rasi Simba

    Hao ndio vijana wa Traventine-Magomeni.
  5. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la polisi Tanzania 2014, baada ya usaili kukamilika

    50,400/= za bima ya afya na bado vijana wanakufa kila siku,si bora mngesema hiyo ni hela ya sanda.
  6. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Daktari bingwa anayemtibia Mhe Rais, anategemewa na kuaminiwa nchini Marekani

    Busha ni heshima kubwa sana kwa watu wa pwani,sasa sijui kwanini huyu kaamua kulitoa.
  7. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Halima Omari Dendego, Mkuu wa Mkoa mpya wa Mtwara ni nani?

    Sawasawa anachapa kazi hadi vitendea kazi vinashindwa kufanya kazi.
  8. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Halima Omari Dendego, Mkuu wa Mkoa mpya wa Mtwara ni nani?

    Duuh! Mkuu wa nchi amepiga kazi hadi vitendea kazi vimeenda kufanyiwa upasuaji.
  9. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shirika la AMREF

    Rudi tena shule kajifunze kwanza kuandika vizuri,nyoko we!
  10. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Mambo 21 muhimu ya kufanya kila siku ili kuwa na maisha yenye mafanikio

    Hizo ndiyo falsafa za kizayuni bwana mdogo,ukiingia kwa undani zaidi utaambiwa usile mzigo.
  11. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Papaa MSOFE ashindwa kufika mahakamani

    Duuh! Kiwandinyo kampora demu chuma cha reli?
  12. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Mh. Mbowe Igunga 6/11/2014

    Tumaini Makene ameshindwa hii kazi nini?
  13. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Nauza transcend external HDD ya 1TB, bei Tsh 120,000

    Transcend majanga tupu
  14. Mwakitobile

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya ya kisasa inauzwa

    Nina 200/= mkuu ni pm.
Back
Top Bottom