Co kweli ubinafsi mji inajengwa na wagen miii yote ambayo hawataki mgen afanye biashara haiendelei.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hivi kwa nini Chadema viongozi wake wakuu kwa maana ya Mwenyekiti makamu Mwenyekiti na Katibu na Katibu msaidizi bara wote wawe wa din ya upande ule.Na hivi kuna cku Chadema inaweza kumsimamisha mgombea urais asiyetoka kanisan
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Inaonyesha wazi baathi yenu mnachuki.Ila kwa tabia yenu mliyoionyesha czan km mtapata mtawala kutoka huko tena.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ila kumbuka mtalii mmoja akija atapanda tax atalala hotel atanunua vinyago na dada yako atapata bwana.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu.
Mimi ninandugu yangu yeye alipeleka mwanae hosptali. Akaambiwa mtt anakwashokoo au mnaita utapia mlo akabisha kwa kusema Mimi nanauwezo mwanangu anakoseje lishe.
Ila akapata wazo cku iliyofuata akaenda mchana nymbn Mana haikuwa ni utaratibu wake kurudi mchana. Amekuta watoto...
Hakika lkn cjui kwanini mechi ilichezwa ucku nazan saa 10 goli zingewahusu.mana hata joto lilipunguaa kwa ile mvua ilinyesha
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Yupo sahihi hata kikwete alipoenda kupasuliwa tezi dume hakunana hata na waziri.Pamoja na kuwa alikaa mwezi mzima
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.