Recent content by mwakinduvya

  1. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Nguvu za asili na anguko la viongozi

    “KANUNI ISIYOONEKANA INAYOONGOZA HISTORIA” Utangulizi Katika historia ya binadamu, tumeshuhudia ustaarabu ukisimama na kuanguka, falme zikitukuka kisha zikifutika, na viongozi maarufu wakifika kilele cha utukufu kisha kusambaratika kwa kishindo. Jambo hili halitokei kwa bahati mbaya bali...
  2. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa mpasuko: Taifa linapoingia katika eneo la hatari

    Muhtasari Katika dunia ya leo, ishara za kuporomoka kwa nchi hazitokei kwa ghafla; huanza kama mitetemo midogo inayosikika tu kwa wale wenye jicho la kiintelijensia. Wakati siri za jeshi zinapovuja kwa raia, vikundi vya ndani vinapogongana, na majirani wanaanza kuweka maslahi yao mezani, taifa...
  3. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Nature Never Hurries, Yet Everything Is Accomplished... - Lao Tzu
  4. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hapa ndipo mstari wa MUNGU unapo anza baada ya mwanadamu kufika mwisho... "HEKIMA ZAKE HAZICHUNGUZIKI" nakumbuka KUTOKA kwenye biblia hasa Sura ya 14...
  5. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Uamsho wa ujasiri wa ndani

    UAMSHO WA UJASIRI WA NDANI KILA BINADAMU ANA CHEMCHEMU YA UJASIRI NDANI YAKE Kila mtu ana kipimo cha hofu, lakini ndani ya hofu hiyo kuna mbegu ya ujasiri. Ubongo wa mwanadamu umeumbwa na uwezo wa kujilinda na kulinda heshima yake. Ndiyo maana, unapoona ukatili, ubongo wako unajibu si kwa...
  6. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    yoga vipi kuhusu ya wapiga firimbi wanaosema kwamba YEYE anataka kuuza baadhi ya vyumba vya nyumba hasa vile vinavyoelekea uwani. kuna ukweli wowote wa hili au ilikua nijaza mafuta katika mioyo ya wakulima..!?
  7. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Draft/Karata zinachezwa gizani, Nchi inachelewa kuamka Kwa sababu mapambano yanayoendelea gizani, watu hawajui kinachotokea—wanaambiwa "serikali inajipanga" kumbe ni vita vya mafahali......
  8. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    [emoji1787][emoji23] Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
  9. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    yoga unasubiri mseminari atoke kwa kina jumong ndo uweke bandiko mkuu...!?!? "sifa ya nyota ni kiza" tuko mezani mikono imekauka tukisubiri chakula... hope things are in good move[emoji847]
  10. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    yoga usiku wa deni haukawii.. nasubiri kwa hamu ujio wa uzi mpya kiongozi.. [emoji847]
  11. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Be that top 1% -majitu yenye akili na nguvu

    niseme asante kwa mlo wa akili...!! [emoji120]
  12. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    huh... afadhali nimeona waves za ECG.. yani mpaka uchapwe na defibrillator ndo ushtuke...[emoji1787] sio kwa ukimya huu mkuu...[emoji85] Lakini kwa kupata bits zako nimijikuta nina afya tena... [emoji847]
  13. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "jino kwa jino" [emoji3166]
  14. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania Kama wanaweza kutengeneza Bombadia wanaweza pia kutengeneza chanjo ya Covid-19

    Kama ni akili yako iliyokutuma kuandika hv basi rudi darasani...!
  15. mwakinduvya

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    napanua "ubongo"... Asante
Back
Top Bottom