Recent content by mwakifamba

  1. mwakifamba

    Natafuta kiwanja cha tsh 1M Kibaha

    Habari. Natafuta kiwanja kuanzia sqm 350 kuwndelea kwa ajili ya makazi kuanzia maeneo ya kibaha kwa matias kwenda hadi kiluvya pande zote pia hadi vikawe. Kilichopimwa au hakijapimwa. Ni PM km unajua kama kipo kinachouzwa
  2. mwakifamba

    Kupaka rangi upya gari hii bei gani

    Lazima nijue at least bei average ya rangi ndio iwe rahisi kujipanga.
  3. mwakifamba

    Kupaka rangi upya gari hii bei gani

    Hiyo ni picha ya mfano tu nimeweka. Sema ndio nafukuzia unhcr huwa wanakiwag na minada nasikia bei zao huwa sio mbaya sema sijajua bado ni sh ngapi.
  4. mwakifamba

    Gari za mnada UNHCR

    Habari, Huwa kuna kipindi shirika la unhcr huuza magari yao yaliyoshatumika.Kwa anayejua, sio anayedhani, anayejua, gari km hii hap iliyoshatumika unaweza pata kwa bei gani?
  5. mwakifamba

    Kupaka rangi upya gari hii bei gani

    Habari kwa mafundi, kupaka upya rangi gari km hii hapa kwa dar inaweza kuwa bei gani. nataka iwe black metallic. Haina mikwaruzo kivile cha muhimu rangi bei yake inaweza kuwa bei gani Itakuwa vzr nikipata jibu kwa watu wanaojua sio mtu tu ku gesi na kujibu.
  6. mwakifamba

    Bro wangu anatafuta girlfriend

    Ushimen, Hiyo n assumption yako tu. Ni bro wangu sio mm wala yeye hajui km namtafutia Pia jamani naombeni muwe serious utanibmeingine hauna ulazima
  7. mwakifamba

    Bro wangu anatafuta girlfriend

    Tunamsaidiaje sasa. Taja dau nimstue km anayo
  8. mwakifamba

    Bro wangu anatafuta girlfriend

    Habari wanandugu, Nina bro wangu anatafuta girlfriend Amejiajiri na umri wake ni miaka 36. Ni mkristo. Naandika ili iwasaidie wale wanaopendelea watu wa upande wao lakini yeye habagui dini. Kama kuna msichana aliye serious aniPM niwaunganishe.
  9. mwakifamba

    Natafuta shamba Mapinga -Bagamoyo

    Habari Natafuta shamba la angalau ekari 3 katika eneo popote kuanzia bunju mwisho hadi bagamoyo upande wa kulia km unaenda bagamoyo. Natafuta shamba ndani ya upande huo nilioutaja hapo juu. Kama kuna mtu dalali au mmiliki ani PM nahitaji shamba Matapeli sitaki kwa kuwa km tutafamya biashara...
  10. mwakifamba

    Liquid Soap Mixer

    Kaka mimi nina Tsh 300,000 Naomba nikupe unipatie hiyo mashine kisha hicho kiasi kingine unikubalie nikulipe kidogo kidogo. Si unaelewa tena hali ya kibiashara ya sasa. Naihitaji sana kaka
  11. mwakifamba

    Thread inayohusu kipato kwa mtaji mdogo

    Habari zenu Nimeipitia hii thread na imenisaidia kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo sana hasa kwa aaiye na uwezekano wa kuata mitaji mikubwa Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa - JamiiForums Inaweza ikawa sio biashara kwa kia mtu ila kwa kujipatia kipato kwa haraka nadhani ni wazo zur...
  12. mwakifamba

    Je, huchukua muda gani na gharama kiasi gani ili kupata kibali cha ujenzi?

    Habari Kama MTU yuko kibamba katka eneo la viwanja vilivyopimwa na kampuni inayouza viwanja vilivyoshapimwa na MTU unataka aanze ujenzi Je,ni muda gani na sh ngapi inatumika hadi upate kibali cha ujenzi? Naombeni uzoefu wenu has a kwa ambao tayari washajenga
  13. mwakifamba

    Mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa inauzwa

    Nimemsikia waziri anayehusika Na mazingira akiongelea kuhusu wiki ya mazingira. Na nasikia Wa nataka kuwasaidia wajasiriamali wadogo mitaji ya kuanzisha mitadi hii ya mkaa. Nadhani ni kitu kizuri kwa wajasiriamali kuchangamkia fursa.
  14. mwakifamba

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Hayo masoko mnayowatafutia wakulima ni ya mkoa ganigani
Back
Top Bottom