Hili la ngono kwa mkurugenzi wa Tehama ni ngumu kujibu ila naona alifanyiwa hicho kitendo atoke aseme kuliko kusema mitandaoni maana inawezekana na isiwezekane pia ikawa kama kupakana matope.
Sasa hili la ukabilazation nalo halina ushahidi kwa kifupi sijajua...
Sio nia kujibu hoja ambayo haina mashiko hapo mie najaribu kumwelewesha mtoa mada kuwa hiyo ya kusema TERNET anapata 25% ya mradi sio kweli na ndio maana nikamwonyesha mgawanyo katika mradi pamoja na wadau wa mradi na TERNET kama mtekelezaji tu na...
Hoja ya TERNET imejibiwa ila hoja ya mkurugenzi ni yake binafsi siwezi ijibia maana anapowataka hakuna mtu mwenye ushahidi hivyo tuombe TAKUKURU waingilie
halfu kuwa na staha na maneno yako
Nakusaidia Pia kukuwekea na washikadau wa HERIN na uweze kujua kuwa mradi huu uko katika structure ambayo ilitolewa na wizara ya Sayansi na Teknolojia na Elimu ya Juu enzi hizo na nitakuonyesha na TERNET inaingiaje kwenye mradi huo.
TERNET sio kampuni binafsi...
Ndugu yangu Kipimbwi ,
Nashhukurru kwa uzi huu uliouleta kwa bahati njema ni kuwa nadhani waliokupenyezea hili jambo la HERIN kuna vitu haviko sawa ,kwanza napenda utambue kuwa huu mradi wa HERIN ni mkombozi kwa vyuo vyetu vya juu kama ulivyobiniwa sasa nakusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.