Recent content by mwakasongoro

  1. mwakasongoro

    Msaada: Mwenye kanuni za utumishi umma 2003 anitumie

    Public service act 2003 ndio nitumie
  2. mwakasongoro

    Msaada: Mwenye kanuni za utumishi umma 2003 anitumie

    Asante ila hiyo ni ya mwaka2014 halafu inahusu serikali ya Zanzibar,Mimi nahitaji KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA ZA 2003
  3. mwakasongoro

    Msaada: Mwenye kanuni za utumishi umma 2003 anitumie

    Naomba mwenye KANUNI ZA UTUMISHI UMMA 2003 Anitumie
  4. mwakasongoro

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Kimsingi mwanamke huyo hana upendo wa dhati kwako,hakujali,hakuthamini,hana huruma na upeo wake wa kimaendeleo(kimaisha) hana,hivyo kupoteza pesa si kitu utapata zingine achana naye huyo tafuta mwingine mungu atakupa na huyo ilikuwa si mpango wa mungu,waswahili wanasema dalili ya siku njema...
  5. mwakasongoro

    MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

    Wewe una miaka mingapi? Na unataka kuoa mwanamke wa umri gani?
  6. mwakasongoro

    Msaada: Mwenye kanuni za utumishi wa umma za 2003

    Jamani naomba mwenye kanuni za utumishi wa umma za 2003.Anitumie au tuwasiliane Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwakasongoro

    Msaada mwenye kanuni za utumishi wa umma

    Naomba mwenye KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA 2013 anitumie kwa email.iddimwambasi3@gmail.com ASANTENI.
  8. mwakasongoro

    Eti mwalimu wa shule ya msingi haruhusiwi kujiendeleza na fani nyingine?

    Kwa mujibu wa sheria za Utumishi wa umma 2003,unachukuwa likizo bila malipo na kwenda kusoma fani yako unayeipenda.
  9. mwakasongoro

    Je Open University wanatoa diploma?

    Anasoma akiwa nyumbani
  10. mwakasongoro

    Eti mwalimu wa shule ya msingi haruhusiwi kujiendeleza na fani nyingine?

    Anaruhusiwa kusoma fani nyingine.maelezo zaidi nitafute kwa ushauri wa kisheria
  11. mwakasongoro

    Msaada wa kupata Kanuni za Mtumishi wa Umma

    Naomba kupatiwa KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA 2003 hata kwa soft copy
  12. mwakasongoro

    Yeyote aliyesoma certificate kisha akajiunga chuo kikuu na kupata degree ajisalimishe nitamtaja tu

    Hana logic kwani wasomi wengi wa nchi hii walisoma cert then degree
  13. mwakasongoro

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Huyo mtoto wa miezi 4 mtafutie Maziwa mbadala na jaribu kubalance mlo kamili,usihofu mtoto ni zawadi kutoka kwa mungu,endelea kulea mimba utajifungua salama tu
Back
Top Bottom