Je Open University wanatoa diploma?

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
907
342
Habari...

Nauliza hivi open university wanatoa diploma? na kama ipo ni zipi na je unaweza kusoma ukiwa nyumbani?...

Kwa maana huyo mtu hataki kwenda vipindi vya asubuhi wala jioni anataka kukaa nyumbani huku akipiga mambo yake mengine.

[HASHTAG]#karibuni[/HASHTAG].
 
Mimi nataka diploma ya utumishi wa umma kwa mfumo wa opening! Inawezekana? Na process zake zikoje?
 
natanguliza shukrani wakuu wangu....mimi nimesomea coz ya b.admin ngazi ya cheti,na gpa ya 4.5,kwa bahati mbaya,cjaweza kuendelea na masomo kwa wakati huu,ila nia yangu nlitaka nipate ufafanuzi kuhusu coz za diploma hapo chuoni...kwenye kada ya biashara,na pia ningependa kujua kama kunauwezekano wa kuaply diploma kwenye kada tofauti km. education.,
 
.ni pm nikupe full details..
 
Back
Top Bottom