Recent content by mwakarobo

  1. M

    Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    kwa hali hiyo inaonyesha ni jinsi gani viongozi wetu hasa huyo mkuu ambavyo hayuko serious na jambo kubwa km hilo la kitaifa
  2. M

    Credit Officers Wanahitajika

    Hata kama nina cheti cha kuzaliwa nitapata kazi? Km ni any kind
  3. M

    Video:Warioba live ITV

    nilikosa kukisikiliza ila mwenye full video ya dakika zote 45 aiweke hapa tumsikie na sisi
  4. M

    Wafanyakazi wa Leopard Tours kuandamana mpaka kwa mbunge Lema

    wako sahihi kabisa name hii inaonyesha ni jinsi gain wali yo na imani na mbunge wao manager waeacha viongozi wrote na kwenda KWA mbunge wao safi sana
  5. M

    Zitto amuanika Waziri wa Ujenzi, John Magufuli kwa upotevu wa Tsh 252 Bilioni

    hii tabia ya ujanjaujanja itaisha lini
  6. M

    Machali apandishiana na M/kiti kikao cha bunge mh Jenista Mhagama

    Kweli maskini akipata ------ hulia mbwata ndo alivyo huyo naibu waziri huna hata adabu kima wewe
  7. M

    Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    Safi sana Mwigulu taarifa imekufikia tengeneza ujinga mwingine uje nao
  8. M

    Mh.Godbless Lema,Said Mwema,Bi.Kijo Bisimba, Live Sauti ya America(VOA) saa moja na nusu Usiku leo

    hii station inapatikana masafa gan jaman naomba nijulishwe kwa anayejua
  9. M

    Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

    Ndo tabu ya kuteua teua majiinga kama ----- nazi mulongo yaana badala ya kutafutia ufumbuzi swala la wanafunzi amesababisha matatizo mengine km mlundikano wa kesi mahakamani, pia upotevu wa rasilimali km muda na fedha kwa kesi ya kipumbavu acheni ujinga badala ya kutafuta aliyeua mwanafunzi na...
  10. M

    Tundu Lissu azungumzia adhabu ya siku 5

    ila una akili km za masaburi
  11. M

    Kikwete awafanyie nini CHADEMA ili waridhike?

    sio mazishi peke yake hata kuzurura nchi za wa2 zilizoendelea akae nchini kwake ajenge nchi ana2tia aibu huko anakoenda na ku2potezea hela kwa ajili ya kuzurura
  12. M

    Lema: Sitapeleka ushahidi wangu uchochoroni tena!!

    Mi nakubaliana na lema kwan hakuna sababu ya kuthibitisha udini wa Jk wakati ule wa Pinda haujawai somwa popote wameukalia 2 huko washenzi sana hawa spika na jopo lake wanakula hela za bure na hakuna wanalolifanya la msingi
  13. M

    Mbunge mstaafu Derefa (CCM) Afagilia Upinzani Bungeni

    hiki ni ki2ko jamani alie andika hiki ni yule mbunge wa ccm alie shindwa kutafsiri the goverment is impotent
Back
Top Bottom