Recent content by Mwakalinga Bujo

 1. Mwakalinga Bujo

  Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

  Miaka yote nipo Jf, hii story ndio nimesoma leo. Viva Jf, Viva Mtambuzi 👏👏👏
 2. Mwakalinga Bujo

  Ole Sabaya hizi tuhuma za Wafanyabiashara wa Hotel ni nzito kwako, huu sio uongozi!

  Nimeona clip aliyomchukuwa mama mmoja ambaye alishawahi hojiwa na Millard Ayo-akijitambulisha kama chalii ya R. Leo ameibuka hai kama mlalamikaji, kadhulumiwa samba.
 3. Mwakalinga Bujo

  Video: Halmashauri kuu ya TLP yampitisha Dr. John Magufuli kuwa Mgombea Urais 2020

  Halmashauri kuu ni yeye na familia yake, so maamuzi ni rahisi sana
 4. Mwakalinga Bujo

  Plot4Sale RESIDENTIAL PLOTS FOR SALE

  Huu ni utani na thamani ya pesa
 5. Mwakalinga Bujo

  Wanaomchafua Dr. Dau magazetini na mtandaoni ni wafamaji, acheni waendelee kutapatapa

  Duh! Ndugu yangu sisi ni weusi kama ww , hizi dini zimeletwa na waarabu na wazungu . Tudumishe yale yanayofaa kwa kuwa mimi na wewe ni wamoja ,usinitenge kwasababu mimi ni mkristo na wewe ni mwisilamu . Bado nakulilia ndugu yangu wazungu na waarabu waliotuletea hizi dini si ndugu zetu . Tafakari...
 6. Mwakalinga Bujo

  Bei ya petroli yashuka huku dizeli na mafuta ya taa ikipanda

  Hii imekaa sawa. Sema kwenye mafuta ya taa,something has to be done
 7. Mwakalinga Bujo

  Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

  Kweli JF inatembea ,imeacha kukimbia ...
 8. Mwakalinga Bujo

  Mti wa Chuma ni nani humu JF?

  Hongera sana jamaa... Komaa utawaajiri hata baadhi yetu tunaokubeza humu
 9. Mwakalinga Bujo

  Kikwete a smart Man that I know

  Naungana na wewe mkuu
 10. Mwakalinga Bujo

  Hatimaye mama Maria Nyerere ampigia kampeni Magufuli

  Mama Maria Nyerere amenishangaza sana. Ila bibi yetu amechoka wanampeleka peleka Tu.
Top Bottom