Recent content by mwakajana

  1. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

    ilibaki Iran na Urusi ili tukamilishe mipango yetu tulioipanga
  2. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Kumbe nchi ya mexico ilikuwa kubwa ardhi kubwa mpaka marekani

    Aliwaogopa kwa Kuwa ni wahuni Sana.
  3. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Dereva Basi la Kilimanjaro Express aliyesababisha ajali na kuua watu wanne, afutiwa leseni

    Hata marehemu walikuwa na watu wakiwategemea,,
  4. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dini ya Kikristo inaongoza kwa kuchezewa sana na watu?

    Duniani kuna dini zaidi ya 100,,hatuwezi kulingana mafunzo
  5. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dini ya Kikristo inaongoza kwa kuchezewa sana na watu?

    Mafunzo ya ukristo na uislam yapo tofauti,,ukristo unasema ukipigwa shavu la kushoto,,mgeuzie na la kulia,,ila uislam wao wanafundishwa jino kwa jino
  6. mwakajana

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Leo(Desemba 8) saa 6 kamili usiku tutapiga fataki kama Ishara ya kuanza sherehe za uhuru!

    Uhuru ni wa Tanganyika,,,tusipotoshe ukweli,,mwaka 1961 hakukuwa na Tanzania.
  7. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

    "Magoma,,Magoma,,Magoma" anapiga tu makelele hata kwa msikilizaji alichotaka kukisikia hawezi kusikia kwa kelele za mtangazaji
  8. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Soka sasa ina mashabiki wengi sana, imeanza ku-overtake Bongo Flava

    Hata mimi nashangaa,,ila ninachojua sisi wa Tz tunapenda sana michezo ila viwanja vya michezo mbalimbali hakuna na walimu hakuna,,endapo serikali ingeandaa viwanja na walimu naamini michezo ingepunguza uhaba wa ajira na zile familia duni zingenufaika na hili..
  9. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye nini ili uchumi wetu uipiku Kenya na mataifa yenye uchumi mkubwa kuliko sisi?

    Ni gesi tu ndio italeta kila kitu
  10. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

    Hio ndio sifa ya watanzania,,jumlisha majungu na kupenda mambo ya hovyo kama Mzee Mpili,,Piere Liquid,,Babu wa Samunge nk na KUTOJALI KABISA mambo ya msingi
  11. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Basi gani linafika mapema kwa safari ya Dar es Salaam - Mwanza

    KISBO SAFARI,,,bendera ya Tz kioo cha nyuma
  12. mwakajana

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya

    Rais Samia nafikiri anaamini kwenye uchumi wa gesi,,nishawahi kumsikia akizungumzia ujenzi wa LNG hapa Tanzania
Back
Top Bottom