Umenena vema, ila mpendwa fahamu kuwa walio wengi wanaopinga usomaji wa vitabu, kuna mawili yanawakabili. Mosi, lugha inayotumika hawaijui/ hawaielewi. Pili, uwezo wao wa ufahamu wa kuchambua maandishi na wao kutoka na wazo jipya kutokana na maarifa aliyoyapata hawana. Kwa hicho walichonacho...
Hii ni moja ya kauli ambazo sizipenda kabisa, hii inafanana na kauli nyingine nisiyoipenda kuisikia ya mfumo dume. On the global called earth, we don't have weak or strong women/woman, there is no weak or strong men/man. Ila wapo wanawake na wanaume. Mengine ya kukera yamezalishwa na watu...
AAAAAAA Nimefurahia kukuona baada ya siku tele. Najua umenisahau ila mimi sijakusahau. Kilichofanya nisikusahau ni tabia yako ya kunibishia. Niliwahi kukuambia kuwa bei ya umeme haitashuka. Ulinibishia sana tena ukaniona ni msaliti nisiyewatakia mema viongozi wa wakati ule. Nikashikilia msimamo...
Kwenye hili la kufunga, mimi huwa sielewi jambo. Najua kufunga ni moja ya ibada muhimu akatika nguzo za dini ya Kiislamu. Ila jambo ambalo silielewi na nadhani huenda itanichukua muda mrefu kupata uelewa, ni suala la mtu kufunga, ila anakasirishwa na mtu anayekula mbele yake. Mimi nikila mbele...
Hakuna anayemsema vibaya. Jipe kazi ya kufanya na kutafuta habari juu ya nguvu za kifo.
Utakayokutana nayo yatakushangaza sana. Kifo kina nguvu kubwa sana. Mwenye kuamua nini kisemwe na nini kisisemwe ni matendo yako. Toka lini Musolini, Hitler, Idd Amini, Savimbi wameongelewa positively...
Naomba tu, inakuwaje mbwa koko ambaye hana thamani machoni pa watu, akae pamoja na wafalme?
Hebu naomba tuoneshe picha zako wewe ambaye sio mbwa koko ukiwa katikati pamoja na wafalme.
Hii comment yako ni ushahidi tosha kuwa mambo mengi ya ulimwengu wa roho, huyajui, Hata nguvu ulizo nazo kuna uwezekano ukawa huzijui. Michoro mwilini ni hatari kwako, kwani sio ubunifu wa kimbingu but from the devil himself. Ukichora unaweka bikoni mwilini (unakuwa lango la kuingilia). Wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.