Recent content by Mwaka wa Mbele

  1. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu kaponea kifo.

    Na hapa ndio umuhimu wa mwanasheria unaonekana. Unatafuta wakili na unapiga stop order . Mume hakushirikishwa kwenye kuchukua mkopo wala kuweka hizo collateral.
  2. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

    Ww ni mshia au msunni?. Pengne haujamuelewa mtoa mada.
  3. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

    Ila Kuna muda mnachekesha sana. Nyinyi si mnasema Adam, na mitume yote ya zaman ni waislam. Sasa Washia inakuwaje sio waislam?. Wanamuabudu Allah , wanamuamin Mtume Mohamed, wanatumia Quran hiyo hiyo. Sema wao wanaamin pia na kiongoz mwingne ambaye wassuni hamumuamini
  4. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na pombe

    Maendeleo gani unaongelea?. bila shaka hata ww unawajua watu wanakunywa pombe na wana maendeleo na ambao hawanywi na bado hawana maendeleo.
  5. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia kuna nguzo nne tu za Uislamu.

    kwenda kuliabudu na kulibusu jiwe jeusi sio. Wajinga ndio waliwao.
  6. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Mpangaji mpya

    Kitendo cha Kukubali kumpikia tu. Imeisha hiyo.
  7. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Bro Kwenye masuala ya dini na sunna. Ww huyawezi. kama ndio unafikiria hivi. Basi fikiria na hili pia. Je Kuweka njano au nyekundu kuna faida gan?. Alafu fikiria na hili. Kuna mtu ana miaka 30 na ana mvi. Kwahiyo asiweke hina/piko njeusi kwa kusema eti atajiona kijana. Wakati kwa uhalisia...
  8. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Nadhan anachanganya kidogo. Mtume alisema msinyoe ndevu na mpunguze masharubu. Na kama mnapaka piko basi iwe nyekundu au njano na sio nyeusi. Ili mjitofautishe na Makafiri. Ila kwenye nywele za kichwani alichoongelea ni kwa kama unanyoa nyoa zote au kama unafunga fuga ..ila sio kunyoa upande...
  9. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Hizi zote kaleta mtume. Sunna za mtume. Kwahiyo imekuwa kama tamaduni. Ilhali sio lazima. Mtume pia alikataza kupaka rangi nyeusi kwenye ndevu zilizo na mvi. Kwahiyo kama mtu una ndevu na zimeanza kutoa mvi. Basi paka rangi nyekundu au njano. Maana kupaka piko nyeusi ni dhambi. Na kuna watu...
  10. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Ni sawa na kusema Mababu zetu wamejuaje kuwa kuna Mungu au Miungu. Duniani kuna dini kuu 7. Na zote zina Mungu au Miungu. Kwahiyo unahoji na wao wamejuaje?. Hii nayo sio ya kuhoji. Hii ni namna ya kuzaliana , bayo hata wanyama wadudu wanafanya. Kinachoanza ni pande la damu (cell ya kiumbe...
  11. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Suala la ndevu liko wazi, wala sio la kubisha. Image iliyojengeka ya mwanaume wa kwenye Biblia na Quran ni mwanaume mwenye nywele na ndevu ndefu. Hawa wanaume wa type ya kina haszu sio wanaume. Sasa mwanaume uso uko soft hauna ndevu hata moja. Sasa ukinawa huo uso si ni kama unaosha embe. 😊😊😊.
  12. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Ustadhi . Kula kitimoto kama kukiwa na Dharura sio dhambi . Quran - Surat Al-Baqarah (2:173).
  13. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Nadhan unajua zaman watu walikuwa wanasambaza visa kwa njia ya mdomo kwa kuhadithiana .vizazi na vizazi. Hizi story sio kwamba hazikuwepo. Nawaf bin Naftar alikuwa ni mkristo. Na ndio alimwambia Mohamed huyo aliyekutokea Pangoni ni yule Malaika aliyemtokea pia Mussa. Hii ina dhihirisha kuwa...
  14. Mwaka wa Mbele

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Ona basi aibu mwanetu. Hata mm au ww au yule anaweza akalala. Akaamka na kusema nimeoteshwa na nimeambiwa na Mungu kuwa kile kisa cha miaka 2,500 nyuma mnachosikia kuwa kiko hivi . hakikuwa vile. Kilikuwa hivi na hivi ninavyowaambia mm. Maana Mungu kaniotesha. Na niamini. Kuna wajinga...
Back
Top Bottom