Ume eleza vizuri sana, natamani watu wenji wangepata elimu ya rencarnation ili wajue mzunguko wa nafsi na Roho zetu mpaka tunapo fikia state ya kuungana na Roho kuu or call it the source au tuseme kile kinacho shahili kuitwa MUNGU na sio hawa Miungu tubao lazimishwa kuiabudu...!
1 Timotheo 4:
1 Timothy
1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
1 Now the Spirit expressly says that in latter times some will depart from the faith, giving heed to deceiving spirits and...
Samahani haya majani huwa yana harufu flani nzuri sio...? Na hua yana oteana sana na yana vitu kama vimiba huwa vina ganda kwenye nguo unapo pita au kuyagusa. M2baki,
Kuna wimbo nautafuta ila bahati mbaya hata bendi iliyo imba siikumbuki, ingawa kuna baadhi ya mistari naikumbuka kama kuna mtu anaweza kuwa na kumbukumbu ya huu wimbo tafadhari, nisaidie
Mstari una imbwa kama ivi
" Maisha sasa ni magumu ina tubidi tuya bane matumiziii"
Maisha sasa ohoo...
Hebu tusome na huu walaka ni mrefu ila hauta jutia, unatupa picha ni jinsi gani mashabiki wa man utd wanavyo jiskia kwa sasa na nafasi ya morinho kama manager wa team, tafadhari pitia.
Jose Mourinho out of ideas, out of excuses and should be out of a job at Manchester United
Alex Shaw
General...
Hapana kwa sasa hii huduma hatutoi, tumesha sumbuana sana na wateja kuhusu malipo na bado kuna ishu za kisheria zina endelea mahakamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama zetu zipo standard labda kama tuta pata kazi mbali sana ba mjini otherwise gharama zetu zipo standard iwe dar au mkoani, kwa room nne ita kugharimu 300 Millions za kitanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.