Recent content by mwaimu Jt

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

    Umepita karibu na kijiwe cha bange nini ?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana ana matatizo gani?

    Mbona kama matatizo unayajua?
  3. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Nadhani sasa watu wataiona thamani ya udaktari wa heshima, hongera Dr Diallo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Barabara ya Salasala kwenda Kinzudi ni hatari kwa watumiaji. Mbunge wa Kawe na Viongozi wa Serikali mitaa njooni Muondoe hii kero

    Tulia kwanza bwana Mbuge anashughulikia safari za USA, mbona unakuwa hivyo jamaa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANTRADE wamelala usingizi

    kwani kila anachofanya jirani yako ni lazima na wewe ufanye?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ndiye Waziri Mkuu ajaye

    Nani alikuambia sifa ya kuwa waziri mkuu ni uzalendo peke yake?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikikupendeza mfuatilie kijana wako Bwana Mponela Mathei mwenyekiti mstaafu wa UVCCM wilaya ya Kigamboni, ana CV nzuri sana

    Hakuna haja ya kufatiliwa aonyeshe alichonacho huko aliko kisha ataonekana tu, vinginevyo labda afuatiliwe uadilifu wake,
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

    Watu Wanaendesha nchi tangu tupate uhuru, waje kushindwa leo?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Kwa mtindo huu Bunge letu litajazwa na ma Dtk
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tulivyomzawadia ‘keki ya miti’ Rais Samia

    Mume wake wewe wa nini au ni mwizi wa waume za watu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

    Mchungaji wa hadhi yake hawezi kuuliza swali juu ya kifo cha mtu, sawa aliyepigwa risasi amepona na magufuli kafa, kwa imani ya dini zote tunaamini kifo ni mapenzi ya Mungu, myu hawezi kufa mpaka Mungu aruhusu ndio maana pamoja na kupigwa risasi lissu bado yupo Mungu hakuruhusu afe, kwa hili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

    Yeye ataishi milele?
Back
Top Bottom