Nimeona hii kitu mdau pamoja na kuweka vifungu vyako vya Sheria hapa
Samahani kidogo, wajumbe kuna kitu kinanitatiza hapa kidogo, inamaana hii taarifa sote tunaandika sana hapa hivi hatuoni kilicho andikwa , tuwe tunasoma vizuri kabisa ili tusipotoshe umma
Kwa ninavyoelewa suala hili halihitaji mbamba wala mambo mengi mwanachama anakuwa na sifa za kupata Fao la Uzazi, Lakini nasikia Mwanachama hiyo huyo Akikaa zaidi ya siku 86 baada ya kujifungua na hajafungua madai anakuwa hana sifa ya kupata yale mapene ambayo ni mishahara yake ya miezi mitatu...
Muktasari:
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka na kwamba, fedha za wanachama ziko salama.
Dar es Salaam. Mchakato wa kumsaka mzabuni kwa ajili ya uuzaji wa mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam...
Hawa jamaa wa NSSF mi naweza sema niwajanja sana aisee, mnakumbuka katika issue ya Malkia wa Nguvu pia, walitumia mbinu kama hii kuwafikia kundi ambalo pia linatakiwa kuwa na Hifadhi ya Jami, yaani sekta isiyo rasmi hivyo kama utaratibu wa kawaida nao walichukua package ya Airtime na kuwafikia...
Nijuavyo ni kwamba ukiona akaunti yako inasoma 0.00 kwenye taarifa zako "Statement" hiyo inamaanisha kuwa mtu hiyo amekwisha lipwa stahiki zake, sasa mpaka Fedha ziingie katika akaunti yako itategemea na uharaka wa benki husika kuweka fedha katika akaunti yako, hata hivyo wanasema inachukua siku...
Nijuavyo ni kwamba ukiona akaunti yako inasoma 0.00 kwenye taarifa zako "Statement" hiyo inamaanisha kuwa mtu hiyo amekwisha lipwa stahiki zake, sasa mpaka Fedha ziingie katika akaunti yako itategemea na uharaka wa benki husika kuweka fedha katika akaunti yako, hata hivyo wanasema inachukua siku...
Mimi pia nilikuwa na shida kama yako ila kuna jamaa yangu alinirushia kipeperushi na sasa naweza ona taarifa zangu hii inaweza kukusaidia wewe na wadau wengine,kikubwa namba yako uliyojisajilia NSSF iwe active.
Na urahisi zaidi ni kwa njia ya whatsapp unasave namba hii na u save kama NSSF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.