Unajua kuhusu ile nembo ya ccm pale chimwaga enzi hizo wale wanafunzi wa kwanzawalioanzisha kile chuo kulikuwa na zegwe kubwa kati ya management na wanachuo ambao wanachuo walidai ile nembo ya magamba ina wachefua hivyo wanaomba itolewe but vce chancellor wao kikula aliwaambia kuwa ile nembo...
hilo ndo jina haswa nililo mpatia mimi na tulikubaliana hata kabla may baby boy hajazaliwa but mwenzangu baada ya siku mbil ana niambia kuwa yeye atamuita mtoto jina lengine na kwa kifupi tumefikia hatua ambayo siyo coz ya hayo mambo mbaya zaidi ilikuwa tukikosaana anasema kuwa anaenda...
Kwa kifupi nimekataa jina hilo la kaka yake coz mimi nikiwa kama baba nilikuwa nishaanda jina la mwanangu na pia tuliaidiana kuwa atapozaliwa wakiume mimi nitampatia jina na jina lenyewe ni zuri siyo yale ya kina mashaka.matatizo shida no.but alikataa but amekubali kuandikisha kwenye cheti pekee...
Jamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa wakiume jina nitampatia mimi.tatizo likaja baada ya mtoto kuzaliwa akazaliwa mtoto wa kiume me nilikuwa...
Baba Riz aliingia na tabasamu lakini lilitoweka gafla baada ya kuzomewa na wanafunzi wa UDSM Baba Riz ambaye alikuwa ameambatana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wa Serikali...
Tuachane na huyu nape anaye fikiri kwa kutumia masauni coz yame mshinda kutoa magamba ameanza kuropoka ropoka hii nchi siyo ya ccm hii ni nchi ya watanzania.aendezake kutoa hayo magamba asituchefue sisi watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.