Recent content by Mwagito84

 1. Mwagito84

  Manusura Wa UKIMWI...

  Kuna jambo utajifunza hapa, Kisa cha kweli 2015 Ilikuwa niko kikazi kwenye kazi iliyobidi niwe mbali na nyumbani kama km 80 hivi vijijini huko mishe za TASAF. Tukiwa site na michakati ya kikazi ikiendelea shughuri tulikuwa tunazifanyia kwenye ofisi za Kijiji opposite na shule ya msingi...
 2. Mwagito84

  Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

  Unaweza kuta unachati na Mwamba. Ndio utajua hujui. Haya mambo ni ya hatari sana sometimes.
 3. Mwagito84

  Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

  Angenishirikisha sasa. Wife angetokea pale angenielewaje kwa mfano
 4. Mwagito84

  Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

  Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh. Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo jamaa since naanza ujenzi alikuwa hajawahi kuja though mimi kwake nimewahi kwenda kumtembelea, Jamaa...
 5. Mwagito84

  Jinsi Jirani alivyoliwa Mkewe na Jank wa Field

  Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja wa wapangaji miezi kama 3 iliyopita alimleta mpwa wake ili afanue Field katika taasisi anayofanyia...
 6. Mwagito84

  Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

  We Peleka tu ila kutafuniwa lazima yaani.
 7. Mwagito84

  USHAURI: Ex wangu tuliyependana sana, nilimcheat aka-move on, kanitafuta turudiane tena

  Kwamba hajawahi sex kakupiga sound yaani. Pili kaenda huko kakuta inamkata. Anarudi kwako kubalancia hesabu yake. Ila kisasi nahisi kipo mbele yako. Wewe mwambie ukweli kuwa tangu muachane uliingia kwenye mahusiano na mtu mwingine ambaye mmefika mbali. Kisha mwambie muwe marafiki tu ila kama...
 8. Mwagito84

  Natafuta mke (25yrs - 30yrs)

  Ahaa
 9. Mwagito84

  Natafuta mke (25yrs - 30yrs)

  Hivi inatakiwa kujificha [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 10. Mwagito84

  Natafuta mke (25yrs - 30yrs)

  Nina miaka 35 mkristu wa madhehebu ya RC. Nina mtoto mmoja wa kike 7 aged na naishi IRINGA. Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo . Awe mkristo wa dhehebu lolote ila kama ni islamic asiadhiri maisha yangu kwa imani yake . Awe na akili, mbunifu na mtu anayependa kufanya kazi na kujituma kwenye...
 11. Mwagito84

  Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

  Kitendo cha kumtafuna siku ya harusi yake hapa mkuu ulifanya makosa ya kumkomoa tu jamaa. Lengo lilikuwa ni nini hasa hapa kwenye siku ya ndoa yake. Dhaaa mkuu ila gharama ya hii issue lazima uilipe kabla hujaondoka duniani
 12. Mwagito84

  Mungu nisifikie kukata tamaa

  Mjomba rudisha mpira kwa kipa kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom