Recent content by mwagito2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

    pinda alilia cku ile alivyokatwa kwnye kamati ya maadili huku akikumbuka kwamba ameshauriwa Mara ngapi agombee urais lakini anakatwa kwenye kamati ya maadili tafsiri ikiwa hana maadili? waziri Mkuu miaka nane hana maadili? na bilal kmya
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    kanikimbia kilabu cha barabara hapa kumbe ndo amekuja huku,njoo mama kisebengo anawaka
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

    safi na asante kwa fact mana watanzania hatuna uzalendo kila mtu anashutum tuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

    kuhusu hotel kidogo zimenipigia kushoto
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

    kufika mwanza bila kusain villa bado hutaonekana hujafiki na xku hz kuna jembe ni jembe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bonanza la wanakihesa na mgeni rasmi Mwanasiasa

    kumbe wakaz wana ccm kumbe hakuna shida kuwaleta wanasiasa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bonanza la wanakihesa na mgeni rasmi Mwanasiasa

    hivi na msigwa mb yupo kwenye umoja huo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    cjutii kuipenda na kuikubali cdm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta hizi sarafu wakuu

    zile sh ishirini vp
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni tena walimu

    kazi ya mwisho au utaalam wa mwisho mpk Nyerere anaingia ikulu ilikuwa nn? na magufuli utaalam wa mwisho mpk anatarajia kuingia ikulu ni upi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pombe inawaangamiza vijana

    pombe inarudisha nyuma maendeleo? wabunge walilia sana kodi iongezwe kwenye pombe na sigara na si mafuta,wakitambua kwamba ndo kimbilio siku zote la bajeti ya Tanzania wee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mfungwa

    sijaelewa sasa uko kundi gani
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki kabisa kutumia kinga wakati wa kufanya mapenzi

    kaka komaa ukiuza mechi siku moja utaendelea Tu kuuza eeh ni km kuanza kula nyama ya binadamu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu mengine Tanzania, sheria zimekaaje?

    swali la msingi sana na Mimi nimeanza kuona tofauti
Back
Top Bottom