Kikubwa ni kuboresha miundombinu, wawekewe vituo vya biashara kupisha Barabara ili ipitike. Iwe Mbagala, Kariakoo, Tandika, Ilala n.k.
Mitaa mingi ya Kariakoo haipitiki kama ilivyokuwa miaka ya 1990s-2000s ambapo ilikuwa ni kawaida kikatiza mtaa Hadi mtaa mwingine Kwa usafiri au kutembea.
Nadhani kabla ya kuomba mkopo unafahamu unakopa kiasi gani, muda gani, riba kiasi gani. Pia unaandikiwa mkataba, nakala kwako na ofisi yao pia. Imekuwaje umepata taharuki namna hii?
1. Museums
2. Idara ya Malikale e.g cultural heritage assets na historical sites
3. TAMISEMI na SERIKALI KUU- Afisa Utamaduni
4. Vyuo vya Kati- Mkufunzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.