Recent content by Mwafrika Halisia

  1. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  2. Mwafrika Halisia

  3. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali

    Nipgie 0702288092 au kuja PM nikupe mchongo ,sister mim pia niilibiwa simu ikarudi kama ilivyo
  4. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

    😁😂😂😂😂😂
  5. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Je, Unapenda Maarifa?

    Habari za muda huu wanajf , Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja taarifa hizo na kuzibadilisha kuwa maarifa (knowledge) ndiyo unaotofautisha kati ya mtu anayepiga...
  6. Mwafrika Halisia

  7. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania GROUP LA WASOMAJI WA VITABU TANZANIA

    📚 Karibu kwenye Group la Wasomaji wa Vitabu Tanzania 🇹🇿 Unapenda kusoma vitabu? Unataka kuongeza maarifa, kuhamasika na kushirikiana na wasomaji wengine? Hili ndilo jukwaa sahihi kwako! 👉 Jiunge nasi hapa: Group la Wasomaji wa Vitabu Tanzania WASOMAJI WA VITABU TANZANIA (Great Thinkers)...
  8. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo binafsi kwenda cha serikali

    Asante mkuu
  9. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo binafsi kwenda cha serikali

    Nimeelewa kuhusu ugumu wa kuingia Lugalo, gharama zake, na hali ya mkopo. Nashukuru pia kwa kupendekeza vyuo mbadala kama Mbeya, Iringa, Tanga na Bulongwa. Nitajikita kwenye masomo ili nifaulu vizuri na pia nianze kufuatilia vyuo vingine vya serikali kwa ajili ya kuhama. Nawashukuru sana kwa...
  10. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo binafsi kwenda cha serikali

    Habari wakuu, naomba msaada Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB. Kutokana na gharama kuwa nyingi chuo hiki Cha private Nina...
  11. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu ikiwa kumbukizi ya mateso na kifo cha Kristo hatuli nyama ila vifo vya wapendwa wetu tunakula nyama tena tunaangusha ng'ombe kabisa

    Wataalamu Wa Dini Tusaidieni, Hii Si Ndio Kuabudu Sanamu Au Hii Ni Sawa Kuweka Kisanamu Na Kukibusu?👇👇
  12. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

    Mkuu nielekeze huu mchongo
Back
Top Bottom