Recent content by Mwadilifu Mdhulumiwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fani nyepesi kutoboa kwa upande wa IT kwa ngazi ya Masters degree

    Salam wanajamii Forums! Tunaomba msaada kwa wenye uzoefu je kwa upande wa fani za IT, Ni fani ipi nyepesi kutoboa kwa ngazi ya Masters Degree? Kijana anaomba msaada!.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kuwasafirisha Yanga, natofautiana na Serikali

    Siku ya jana Jumatatu April01, 2024, baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti vikiwakariri baadhi ya viongozi wa serikali wakitoa taarifa ya kugharamia safari ya mashabiki wa club ya Yanga kwenda na kurudi nchini Afrika kusini ili kwenda kuishangilia timu hiyo itakapoumana na timu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Robo fainali na Al Ahly Vs Simba iongeze uwekezaji wa mbinu katika maeneo haya

    Mkuu umesahau, mtaji wa Yanga siku zote ni mpira wa kasi, siku ya Al Ahly walijaribu kupiga kwa kasi lakini Al Ahly waliwadhibiti sababu nao walipiga kasi!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Robo fainali na Al Ahly Vs Simba iongeze uwekezaji wa mbinu katika maeneo haya

    Hahahaa! Sawa bhana maana nimesikia hata kwenye kamati za ujenzi wa miradi kuna kamati za ndumba!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Robo fainali na Al Ahly Vs Simba iongeze uwekezaji wa mbinu katika maeneo haya

    Siku ya Tarehe 29 Mwezi huu wa March 2024, Timu ya Simba itatupa karata yake ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa mechi za robo fainali dhidi ya miamba ya soka Afrika, Al Ahly Sporting kutoka nchini Misri . Sote tunatambua ugumu na umuhimu wa mchezo huo ambao kwa upande wa Simba ndio utakaotoa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Mwaka jana serikali ilitoa hilo agizo mwezi march na baadaye mwezi July zikapitishwa form kwa walimu waliostahili mserereko kujaza kisha zikapandishwa kushughulikiwa, kama hukufikiwa basi ni bahati mbaya na fursa imetolewa tena mwaka huu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika kushughulikia kero za walimu dhidi ya kero za watumishi wengine, Mfano kwa miaka miwili mfululizo sererikali...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

    Kwanini vyombo vya habari vingine vilivyoripot hiyo taarifa havikusema hayo mambo ya kubura mkia? Au ulifikiri walisahau Ama yeye anajua sana kuripot taarifa!??? Hakuna taaluma ya Habari inayoelekeza kuripot mambo katika namna ya kudhalilisha au kutweza utu, Hata uhuru wenyewe wa kupata habari...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

    Utopolo unateseka ukiwa wapi huko? La hiyo mechi sio kutafuta ubingwa wala kupanda nafasi ya msimamo wa ligi, lengo ni kocha mpya kutaka kuwapima wachazaji wake ili kufanya marekebisho muhimu yanayohitajika! Kocha yeyote Mzuri hawezi kuchagua timu ngumu, atachagua timu ya kawaida ili mchezo uwe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simbachawene atetea uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara. Avuliwe Uwaziri!

    Hakuna kitu kama hicho! Ule uamuzi ulikuwa uamuzi binafs wa JPM na aliutoa siku alipokuwa akipokea ripot ya Tume ya Uchaguzi! Kuna mambo mengi tu ambayo yalikuwa yakiamuliwa au kushauriwa au kupendekezwa na hivyo vikao lakini yeye akitoka huku nje anapiga anavyojua yeye au hukuwahi kumsikia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simbachawene atetea uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara. Avuliwe Uwaziri!

    Katiba haisemi hivyo! Kwanza mantiki ya mikutano ya hadhara sio kupinga maendeleo wala kukosesha utulivu katika umma, Bali ni kuelimisha wananchi juu ya mambo mbalimbali yahusuyo mustakabali mzima wa maisha yao. Ni fursa ya kuwezesha wananchi kujua serikali yao inawatoa wapi na kuwapeleka wapi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    Kweli mshukuru Mungu alokupa uwezo wa kujitambua hata pale unapokuwa na ugwadu! Au niseme ni ugwadu ulikuwa haujakukamata sawasawa! Kama watu wanabaka hadi vikongwe sembuse huyo mrembo alojileta mwenyewe!!!?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukigusa Katiba Mpya ndio itakuwa kaburi lako la kisiasa

    Acha kumtisha Mama, Kwanza huna hadhi hata ya kumwita Dada kwani upeo wako unaonyesha wewe ni kijana mdogo mwenye ushauri wa kitoto kabisa!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Ujue wacha Mungu wengi kwa kawaida na hasa wazazi hupenda kuona nyumnba nzima mkienda Kanisani kiusali, hivyo kama kuna mtu ndani ya nyumba hiyohiyo haendi kusali hujiona kama vile wanaishi na shetani na hivyo ndio maana Mama yako anaumia na kukwazika unapoonekana kutopenda kusali! Pia kumbuka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania George Mpole amka la sivyo utapotea

    Tusimfokee Mpole tumuulize kwanza shida ilipo! Tunapaswa kukumbuka kuwa kuna baadhi ya viongozi kwenye vilabu vyetu ni wadanganyifu na wababaishaji sana! Kumbuka Mpole alitaka kusajiliwa na vilabu vya Simba, Yanga na Azam lakin kuna mbinu zilitumika pale Geita gold ikiwemo kumuahidi dau zuri...
Back
Top Bottom