Recent content by Mwacheni Bubu Aseme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Star mzuri kuliko wote hapa Bongo huyu hapa?

    Queen Kan
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mengi: Ni lazima tuwapeleke baadhi ya watu Milembe kwa nguvu!

    Kwa hiyo unadhani Mengi aliwahonga The Forbes hata kum rank namba mbili Tanzania? Yani waafrika watu wa ajabu sana!!!! Watu wanafanya tafiti for years,lakini mtu unakaa kwenye key board na kuamua kubisha kwa hisia tu!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Kiongozi:Kesi zote zinazofunguliwa sasa kumalizika ndani ya miaka miwili

    Judiciary nayo imetumbukia kwenye siasa za "kutoa maagizo",huku idadi ya mahakimu na majaji ikibaki ile ile!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Richard s. mabala(----- WA NGONO)

    Uchambuzi murua huu toka kwa mwanafasihi mkongwe, R.S.Mabala
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ten most powerful people in Tanzania!

    May his Id rest in server
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mengi: Ni lazima tuwapeleke baadhi ya watu Milembe kwa nguvu!

    Kama tutaendelea kuwa na akili mgando namna hii,bado tuna karne nyingi za kuwa watumwa duniani! Au mnasubiri FORBES waje kutwambia Mengi ana mtaji wa kuwekeza ndio muamini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ten most powerful people in Tanzania!

    Mbona umeguna Nyani Ngabu? The Boss,can you update the list?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ningekuwa.

    If wishes were horses,dah!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima limejiweka katika mazingira ya kufungiwa

    Kisheria mtoto wa miaka 14 hana uwezo wa kuamua kuwa na uhusiano wa kimapenzi,hvyo,hata kumtongoza hutafsiriwa kuwa ni "kumrubuni" na adhabu yake ni sawa na ubakaji wowote mwingne.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kusahau shida zako.

    Hahaha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe na Zitto watabaki CHADEMA njooni mchukue kadi yenu

    Hii Idea ya kuhusisha CHADEMA na Mungu ni uvivu wa kufikiri.
  12. M

    JamiiForums Tanzania '' mke wangu ame-lock simu yake kwa security code " .... Nahisi kitu ila nashindwa mwambia!!

    Kwani si ungesema tu kuwa ni wewe,ili usaidiwe kwa karibu zaidi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo atoa kali: Amuita Zitto 'Kijana Mlafi wa Rushwa'

    Kijana wenu akina nani?
Back
Top Bottom