Recent content by mwabho

  1. M

    Nitajie kiwanja kizuri Chenye totoz mkoani kwenu

    Lamory na La Chalz, Songea Mjini Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mama Anna Makinda, Jipime kama NHIF ikiwa chini yako imekidhi matarajio ya wengi?

    Wametegesha mtoto akifikia miaka 18 Sikh hiyo hiyo wanamtoa na sharti la kutibiwa unalipia fedha elfu hamsini na zaidi na awe na namba ya nida! Wakati hata wazazi wa mtoto husika namba ya nida hawajapata! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Mwigulu alitumia robot kuandika nchi nzima?

    Kwa kuwa mandishi hayo yamewekwa kwenye maeneo ya umma inawezekena yanalipiwa ada ya matangazo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV

    Naomba watusaidia kujua Tanzania kama nchi inajisikiaje tunapokuwa na idadi ndogo ya naambukizi. Wakati jirani zetu kila wakitangaza maambukizi mapya wanataarifu kuwa waathirika wwnetokea Tanzania! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Mpaka wa Tanzania na Kenya sasa unahitaji umakini

    Kati ya 14 wapya mmoja alitokea Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Huduma za Azam Tv zinavyokatisha tamaa

    Kwa hakika huduma za Azam Tv zimekuwa na mapungufu mengi, ukiachia kutoonekana mara kwa mara kukiwepo na mawingu. Bado huduma zao mfano huduma kwa wateja wanapopigiwa simu hawapokea, huduma mpya ya Azamtv Max ndio balaa wanapokea fedha za wateja kwa wale wasio na ving'amuzi na bado hakuna...
  7. M

    Zitto awapasua roho wabunge

    Kwa upande wangu naungana na Zito kupinga ongezeko hili la posho, kwa ujumla issue sio kiasi wanachopata, issue ni utaratibu uliotumika, kwa hali hii hawatakuwa na uhalali wa kuwahoji wakina Jairo na wenzao kwani posho hizi hazikuwa kwenye bajeti ya mwaka husika na pia hazina idhini ya Raisi...
Back
Top Bottom