Mpaka wa Tanzania na Kenya sasa unahitaji umakini

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Kwa Africa Mashariki idadi ya watu waliopata corona Kenya ipo juu,kila siku idadi ya watu inaongezeka,leo 172.

Wizara ya afya na uhamiaji wanatakiwa kuongeza umakini kwenye mpaka wa Kenya.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Ktk wale 24 wamepona wawili na wale wawili wengine waliopona mwanzo ukijumlisha jumla ya waliopona tz wanakuwa 4! Kenya wanakosea wapi..??
What is going on in Kenya..??
 
Hata Tz idadi nikubwa isipokuwa sisi tunatangaza kwa kuvizia upepo wa watu ukoje?
 
Tuongeze juhudi kupima na kutambua wagonjwa. Si ajabu kuna watu wanaugua Corona bila kutambuliwa na kudhani ni Malaria. Hizo takwimu siyo jawabu. Kuna mambo mengi ya kuangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Tz idadi nikubwa isipokuwa sisi tunatangaza kwa kuvizia upepo wa watu ukoje?
Lete ushahidi
Ungeona jinsi wageni wanvyopelekwa karantini na mitutu toka airport ungeridhika tu na idadi ndogo ya waathirika,kenya waliakua wanawaachia watu kiholela na hawakuwa na maabara za kisasa
 
Kwa Africa Mashariki idadi ya watu waliopata corona Kenya ipo juu,kila siku idadi ya watu inaongezeka,leo 172.

Wizara ya afya na uhamiaji wanatakiwa kuongeza umakini kwenye mpaka wa Kenya.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hivi hiyo Coronavirus haijafika Tanzania bado, au una maana nyingine?

Huo mpaka miaka na miaka ulihitaji umakini wa hali ya juu sana sio wakati huu pekee.
 
Kama corona haina tiba yanini nikapime wakati siumwi..bhangi za wazungu.
Kuna viumbe wanataka idadi iongezeke Tz sijui kwa maslahi ya nani??
 
Back
Top Bottom