Recent content by Mwa chando

  1. M

    JamiiForums Tanzania DMO Iramba aikashifu serikali ya Magufuli mbele ya Jafo

    Hahahah Hii NI Rejesta wale wakiswahili c nikweli ahahahha
  2. M

    JamiiForums Tanzania DMO Iramba aikashifu serikali ya Magufuli mbele ya Jafo

    ETI MAENDELEO MAKUBWA YAKUNUNUA NDEGE HAHAHAHHAHAHAH WABONGO TUNAKASHFAAA KWELI KWELI WATU WAMEJIKONGOJA WAMETOKA SERIKALI NZIMA KWENDA KUZINDUA NDEGE YA WATU 70 HAHAHAHHAHA HHAHAHAH
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Magufuli ameadhimishaje kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl Nyerere?

    Unaimani nae wewe mbona unawasemea na wengine au ndio sawa na bwana yule mkono tumboni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usahihi kuhusu UVCCM: Viongozi wa CHADEMA wananufaika na uzushi wa wafuasi wao

    Sijawahi kuona post iliyo jaa ujinga ujinga humu kama Hii..........!?? najuta hata kwanini naandika comment yangu hapa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la ESCROW: Magufuli mkamate Seth wa IPTL

    Hhahahah Mimi ngoja nicheke tu BT naamini mtukufu mwisho wake NI kukumata wakurugenzi tu huko hawezi kabisaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa

    Hahahahah master plani ya kuitafuna nchi vizuri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa

    Eeeenh Mungu kishushie chama hiki kama moto Wa sodoma na gomora ukiangamize kabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba wiki ijayo ataanza ziara ya wiki mbili kutembelea mataifa kadhaa

    Hahahah vichekesho hivi vya bwana yule
  9. M

    JamiiForums Tanzania CUF Mtwara na Lindi: Mbowe asiingilie mambo yetu

    Na wewe NDIO mamluki Wa kirusi chs mpinga maendeleo ccm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Shetani wa Tanzania ni TANESCO

    ANGESEMA SHETANI WA TANZANIA NI CCM MAANA WAMEIFIKISHA TANESCO HUKO NINGEKUBALI ILA HAPO HATA SIUNGI MKONO
  11. M

    JamiiForums Tanzania TCRA kufungia kipindi dhidinya kufungia Radio station

    Kwahiyo wewe unamuengelea kada waccm Rugeccm au NI yupi
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM chama kikongwe kinachoigwa barani Africa

    Post kama hizi wala siyo zakusomwa maana hazijengi kama Mimi hata sijaisoma na ninapita kama ifwatavyo maana hoja zake NI dhaifu tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania ATCL mmetudanganya, Nauli ya chini one way ni 180,000 na ya juu ni 480,000

    Ungeweka na nauli ya fastjet pia ingesound kidogo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatumjui adui yetu

    ADUI YANGU NI CCM NA WASHIRIKA WAKE
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ewe mtumishi endelea kusikiliza

    Hapa umenena ila HUYU mtumishi cjui kama atatufikisha maana hili jahazi linayumba sana
Back
Top Bottom