Karibu Mlimani karibu na kijiji cha Nyerere.Nipo Dodoma Area C mkuu karanga plus zabibu karibuni Dodoma hata namba 3 yupo huku
Karibu Mlimani karibu na kijiji cha Nyerere.Nipo Dodoma Area C mkuu karanga plus zabibu karibuni Dodoma hata namba 3 yupo huku
Unalialia nini wewe? Uchaguzi Zanzibar ulikuwa huru na wa haki! Ukisusa hakuna kubembelezwa bwana!Kweli ni chama cha kuigwa kwa vigezo hivi vifuatavo kuwadhulumu wa zanzibar kuwanyanyasa mashehe na kuwaweka ndani bila ya kosa na kumpa tunzo jecha
Ndiyo mahana bara la Africa haliendelei
Poleni ndugu zetu mliopigwa risasi za moto mkidai haki sawa itendeke kwenye uchaguzi huko visiwani wakati wa BWM
Karibu Mlimani karibu na kijiji cha Nyerere.
Ndo "maana" bara la Africa haliendelei.mahana =maana hahahahahah
Sasa si utapike tu?Unatia kichefuchefu,...
Ahsante mleta mada... tena hata nami nahisi kuvutika na CCM hivi sasa lakini kuna mambo bado sijayafahamu vizuri kwahiyo, with due respect, naomba unielimishe manake ningependa kufuatilia chama ninachofahamu misingi yake japo kinagaubaga!mimi sioni dalili ya ccm kutoka mamlakani kwa kuwa wapinzani wanafanya siasa kwa matukio sio falsafa ili kuvuta watu..........
Kazi tunayo vyama hivi tujipange ccm bado ni imara kifalsafa na itikadi ikipata mtu makini kuliko wapunzani
karibuni kwa mjadala
Nikupe hongera kwa kutambua hilo. Mwisho wa upinzani ilikuwa 2015mimi sioni dalili ya ccm kutoka mamlakani kwa kuwa wapinzani wanafanya siasa kwa matukio sio falsafa ili kuvuta watu. Kitu ambacho ni kosa kubwa kwa chama chochote cha siasa ndo mana wamepungua sana kihoja hawana falsafa mama mfano cdm wanasema ni mrengo wa kati lakini hawakutoa ufafanuzi mrengo wa kati maana yake nini ili watanzania wawaelewe. Peoples power ni slogani sio falsafa
Kwa hiyo mimi naona cdm inapwaya sana mtu makini anaweza kupata mashaka na msimamo wao ambao haueleweki mana wanaweza kuingia ikulu wakafanya mengine tusiyoelewa.
ACT ni wajamaa la kini kuna ufalme ndani yake sisi hatutaki wafalme kwa kuwa kuna cheo inaitwa kuongzi wa chama jambo ambali linaonyesha umiliki wa mtu juu ya chama kwamba mtu moja ni altimate say na sio majority hiyo ni shida
ukija cuf hawana mpango na bara wameridhika na visiwani kwa vyovyote vile hawawezi kushika dola
Kazi tunayo vyama hivi tujipange ccm bado ni imara kifalsafa na itikadi ikipata mtu makini kuliko wapunzani
karibuni kwa mjadala
kwa sasa ccm haieleweki vizr kwa kuwa vitabu vinasema ujamaa na kujitegemea matendo yanasema ubepari ndo mana nimesema kama ikipata mtu sahihi inasonga mbele ikirekebisha vitu vichache kama vile kuchanganya mazuri ya ubepar psmoja na mazuri ya ujamaaAhsante mleta mada... tena hata nami nahisi kuvutika na CCM hivi sasa lakini kuna mambo bado sijayafahamu vizuri kwahiyo, with due respect, naomba unielimishe manake ningependa kufuatilia chama ninachofahamu misingi yake japo kinagaubaga!
Hivi kwa sasa itikadi na falsafa ya Chama Cha Mapinduzi ni ipi hasa?
Na ndio maana nikamuomba mleta mada anipe darsa kuhusu itikadi na falsafa ya CCM!!!Tofauti kabisa, CCM wenyewe hawana falsafa na msimano unaoeleweka, japokuwa siwatetei wapinzani pia, ila sioni ubora wa CCM
CCM hawa hawa waliokuwa wanamsifia Kikwete na Lowassa mwaka jana leo wanawaponda tena watu hao, hii ni falsafa gani??
Na communist party of China huwezi wafananisha na CCM, Communist party wanaheshimu falsafa zao na mtu anaadhibiwa kutokana na makosa yake haiangaliwi status ya mtu
wapo wafanyabiashara wakubwa China wamenyongwa kutokana na ufisadi
CCM wameshindwa kumchukulia hatua Lowassa wanaetuimbia kuwa ni fisadi, na akiamua kurudi atakaribishwa tena tu
CCM wakibaki madarakani ni kutokana na udhaifu wa wapinzani, udhaifu na upole wa watanzania na matumizi ya mabavu ya CCM na sio sera nzuri
CCM kwa sasa wana falsafa yoyote tofauti na kucheza tune ya Magufuli??? sidhani
Haraka haraka haina Baraka mkuu..wahenga walisema. .Mimi sioni dalili ya CCM kutoka mamlakani kwa kuwa wapinzani wanafanya siasa kwa matukio sio falsafa ili kuvuta watu. Kitu ambacho ni kosa kubwa kwa chama chochote cha siasa ndo mana wamepungua sana kihoja hawana falsafa mama mfano CHADEMA wanasema ni mrengo wa kati lakini hawakutoa ufafanuzi mrengo wa kati maana yake nini ili watanzania wawaelewe. Peoples power ni slogani sio falsafa
Kwa hiyo mimi naona CHADEMA inapwaya sana mtu makini anaweza kupata mashaka na msimamo wao ambao haueleweki mana wanaweza kuingia Ikulu wakafanya mengine tusiyoelewa.
ACT ni wajamaa la kini kuna ufalme ndani yake sisi hatutaki wafalme kwa kuwa kuna cheo inaitwa kiongozi wa chama jambo ambali linaonyesha umiliki wa mtu juu ya chama kwamba mtu moja ni altimate say na sio majority hiyo ni shida
Ukija CUF hawana mpango na bara wameridhika na visiwani kwa vyovyote vile hawawezi kushika dola.
Kazi tunayo vyama hivi tujipange CCM bado ni imara kifalsafa na itikadi ikipata mtu makini kuliko wapinzani.
Karibuni kwa mjadala.