Hellow wana jamii forum nilikua naulizia mtaalamu wa IT anaejua zile system finger print zinazofungwa katika maofisi kwaajili ya watumishi Ku sign in na out aje DM tufanye deal
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, nilieajiriwa, ninahitaji mke wa kumuoa awe mkristu dhehebu lolote kwa sasa napatikana Dodoma.
Kwa alie tayari anichek inbox kwa SMS, serious I mean.
Habari za sahiz .ningependa kujua HV hii biashara ya cable TV IPO kihalali (tcra ) wameiifhinisha? Maana ninachoona ni kama wanawanyonya weny makampun ya ving'amuzi(Azam,zuku, nk) na kama IPO kihalali Nataman kuiazisha.naomba muongozo kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.