Recent content by Mvidunda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

    Unafki ukitamalaki, hupofusha fikra. Kitu ambacho hukijui kuwa huna nafasi tena! Alaaniwe amtumainie mwanadamu..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Kama na wewe ni great thinker, basi Taifa hili bado lina safari ndefu. Muda huu uliotumia kuandika pumba hizi ni Heri ungelimsaidia mkeo kuchambua mchele.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa analysis niliyofanya, CCM wasipokuwa makini 2025 watanyang'anywa nchi

    Sitaki kuamini kuwa unatumia kichwa/ubongo kufikiri. Yani wewe ni mweupe pee...Pumba!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    Hata Mimi sijamuelewa kabisa. Kitu ambacho hakijui, unapoandika usiandike kama utakyesoma ni wewe tu, andika ikiwa unazingatia kuwa watasoma wengine. Pumba mwanzo mwisho.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

    Mtoa Mada una uwezo mdogo mno wa kufikiri na kupambanua mambo!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    nakuunga mkono hata kama alimchukia sana mwenda zake apime kaurizake yake maana bado kuna watu wengi bado wanaona mwendazake alikuwa sahihi kwenye baadhi ya mambo, matendo yawe mengi kuliko maneno asionyeshe yeye ndo mdomo wa kikwete ni mapema sana kwa wao kutangaza ushindi.Kama alivyokuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ashiriki Ibada Takatifu ya Pasaka Dodoma

    Kusali, kuswali ni masuala ya kibinafsi sana. Nakerwa na tabia za viongozi kila waendapo kusali au kuswali, kuongozana na makamera na kuutaarifu umma. Hizi tabia alikuwa nazo Rais Daniel Arap Moi ambaye pia alijiita mtukufu. Nyakati za utawala wake kule nchini Kenya, kila jumapili ilikuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Waswahili wana msemo wao maarufu "Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua" Naam, Mungu huwa hatoi taarifa kama anataka kukupa. Ndivyo alivyofanya kwetu Watanzania. Ametupa kiongozi mahiri ambaye ameonesha umahiri mkubwa wa uongozi katika siku zake chache tangu amekikalia kiti cha enzi. Kauli...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango leo kaongea kama mkuu wa Nchi

    Mtoa mada kakurupuka... Ameonesha kiwango alivyo mweupe na asivyofuatilia mambo. Tumsamehe!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    Umewafikiria walio na imani tu (Dini), vipi kuhusu wasio na hizo imani zenu za mapokeo? Nionavyo Mama hapa Mungu yupo rohoni mwako. Unaposema tumsifu Yesu Kristu, ilhali wewe ni Muislamu inaleta mantiki gani? Acha ujinga kenge wewe na kujifanya mjuaji wakati umefumba macho huuoni ukweli wala...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwandishi wa habari, Victor Makinda amechukua fomu kuwania udiwani kata ya Kisawasawa, Kilombero mkoani Morogoro kupitia CCM

    Mwandishi wa habari, Victor Makinda amechukua fomu kuwania udiwani kata ya Kisawasawa, Kilombero mkoani Morogoro.
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuja Tanzania kutafuta maisha naomba ushauri wenu

    Naifahamu vyema kaunti ya Kilifi huko Kenya. Mbona fursa ni nyingi sana huko. Unaishi Kilifi sehemu gani mpaka usizione fursa. Kama unataka kurudi nyumbani rudi. Huku tumepata bahati ya pekee. Tuna kiongozi wa nchi makini kuwahi kutokea. Yote mema chini ya uongozi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Victor Makinda atangaza nia Udiwani Kata ya Kisawasawa, Kilombero, Morogoro

    Yote sawa...! Hatuwezi jua amejipangaje. Na sidhani kama ni gharama kubwa kiasi hicho.
Back
Top Bottom