demokrasia na haki haviletwi kwenye sahani kama pilau kwa hiyo msikatishwee tamaa ndio mzidi kuimarika NYASA Iko nyuma sana sababu ya watawala hv haingii akilini mpaka leo hakuna umeme wala barabara ya lami wilaya ambayo iko mpakani amkeni wananyasa time is NOW.
Wanajamvi it it hightime tujadili mapungufu ya serikali iloyopo madarakani ili hawa wanaojipitisha kutaka urais, watupe sera zao zitakuwaje: mimi niliyoyaona ni yafuatayo
1. Elimu imeendelea kushuka ubora
2. Maslahi ya wafanyakazi hayakujaliwa ili waongezeg tija.
3. Suala la afya kwa jamii...
katika kazi za kipolisi huwezi kumkamata kama ameamua ku coperate fully with PCCB anawapa taarifa zote waliokwenda kwake kuomba mgawo kwa nguvu toka IPTL ilivyoingia tz.
Rugemalira anashirikiana na dola saa hz ndie aliotoa ukweli kuwa walikuwa wanamfuata kila siku....in short we say he had decided to "Sing" wengi watafuata!!! big vigogo watatinga mwisho.
watuambie mikataba ya kukodisha ndege ilipitishwa na AG gani.kwani mikataba yote lazima ipite huko kwa vile ATCL ni kampuni ya serikali.au ilipitishwa na yule yule wa Escrow!! serikali mpya na ije!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.