Recent content by Mvatikan

  1. Mvatikan

    Mchungaji atuhumiwa kubaka mtoto wa miaka mitano

    Dah! Hizi kesi lini zitaisha jamani? Mbona kwa wenzetu haya mambo hatuyasikii?😠😠 Imani yangu iko mashakani sana.
  2. Mvatikan

    Haki ya Kutaka Kujiua

    Did Jesus Choose to Die? Or was he Not aware of it at all?
  3. Mvatikan

    Haki ya Kutaka Kujiua

    He decided to be killed. That on its own is a suicide. He choose to die for our Sins. He could decided to change his Decision but he stick to it. I'm always confused why he choose that path of Killing himself. He Knew Yuda will do that anyway but he Continued with his plan.
  4. Mvatikan

    When husband is hotter than wife

    Jogoo limegoma Kuwika Looong time. Ha ha ha ha.
  5. Mvatikan

    When husband is hotter than wife

    Amekusikitisha wakati mwenzako anataka kutafunwa km kitumbua!
  6. Mvatikan

    Msumbiji yapitisha sheria kuruhusu mahusiano ya Jinsia moja

    Nimekusoma Mkuu. Ni kweli uyasemayo.
  7. Mvatikan

    Msumbiji yapitisha sheria kuruhusu mahusiano ya Jinsia moja

    Ukisema Gender equality una maanisha mwanamke apewe ruksa ya kumuoa mwanamke mwenzake au?
  8. Mvatikan

    Msumbiji yapitisha sheria kuruhusu mahusiano ya Jinsia moja

    Haya mambo ya wanamme kutafunana tunayasikia ktk nchi zetu zinazoongozwa na kuendeshwa na Wazungu tu. Kule kwa wenzetu siasa kali Mashababu na Mujahidina hatuyasikii kabisa. Kwa kweli inatia kinyaa.
  9. Mvatikan

    Haki ya Kutaka Kujiua

    But our bible says Jesus choose to Die by Getting Crucified. He sayed that Himself in the bible. Is he going to be punished in eternal Hell😧?.
  10. Mvatikan

    Tanzania Commision for Universities- kujitoa kwa MOROGORO ISLAMIC UNIVERSITY

    Wapenda vijiwe vya kahawa km wewe mara nyingi mnatuletea vitu vya kusikiasikia kila mara. Wacha kupoteza muda wa watu we mtoto.
  11. Mvatikan

    Male to Female journey of Bruce Jenner

    Huyu alikuwa na hamu ya kutendwa muda mrefu sana lkn alikuwa anaona ka aibu flan. Sasa amekamilisha lengo. Atakula fimbo lugoda mpaka akili imsogee
Back
Top Bottom